Jeshi jeshi jeshi

Kivipi? Hujaeleweka tiririka vizur wamefanyaje?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Thank You!!!Naomba kujuzwa iyo barua inaambatanishwa na nini?(nataka kujua vyote vinavyohitajika)
 
Haya updates kwa nafasi za JKT zishatangazwa kwa Dar Es Salaam tayari nenda ofisi ya mtendaji utakuta tangazo, kwa kila wilaya ya Dar watachukua watu 42 so fanya 42 * 3= 126 kwahiyo kwa hii nyomi yote ya Dar wanataka watu 126 tu, anywei u never know kama unataka jaribu kuomba yote yanawezekana
NB: Tangazo hilo linawahusu wenye elimu ya form 6, form 4 na Std 7, nikipata updates kuhusu graduate entry nitawajuza
 

hahhahahah hii posti imenipa raha sana leo,nimegundua kiukweli sipendi jeshi basi tu nilikuwa natamani na mimi kupewa heshima wanayopewa wanajeshi(WENYE VYEO) au wale wanaostaafu vyeo wanavyopewa kama ukuu wa wilaya nk but it will take me more than 10 years kufikia hayo malengo. tena probably kesho kutwa tutapigana na Malawi then nife kabla sijaenjoy life. wacha nikomae na haka kabiashara kangu at least hakuna anayeniambia nivae uniform asubuhi
 
kila mwaka jeshi lina recruit zaid ya vijana 5ooo so ni mishemishe zako tuu unapata chance
 
Mwenye updates za graduates mtupe wandugu kujiunga jeshi kwani JKT ndo wamefunga rasmi
 
Mkuu, ume-bug men, utaratibu wa ajira JWTZ unaanzia JKT Kama ulivyosema, lakini ili ujiunge JKT ni lazima mambo yako yaanzie kwenye serikali ya mtaa/kata unakoishi. Huko kuna mchujo unafanyika kwa kupitia mazoezi, wanaofaulu hupelekwa wilayani ambako kamati za Ulinzi na usalama zinawafanyia usaili na wanaoshinda hupelekwa mkoani na kamati Kama hiyo ngapi ya mkoa huchuja tena. Wanaopita ngazi ya mkoa hupelekwa kufanya wa medical examination na wanaopita huruhusiwa kujiunga na JKT. Wanaofanya vizuri JKT baadhi Yao huchaguliwa kujiunga na JWTZ
 
Minauliza wataalamu sio kanjanja unaowasemea.Hukuna mtaalamu anaepitia huko so far kasome tena tangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…