Jerry Silaa kupelekwa Bungeni na Karandinga ya Polisi, mashtaka yake kuongezeka hadi kuwa matatu

20210827_071444.jpg
 
Jerry Silaa ambaye ni mheshimiwa mbunge wa ukonga kwa tiketi ya CCM, leo saa 4 asubuhi anatazamiwa kuletwa mbele ya Tume ya maadili ya bunge akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.

Aidha, mashtaka ya Jerry Silaa sasa yatakuwa matatu

1. Kusema uongo

2. Kuvunja heshima ya Bunge

3. Kudharau wito wa Kamati ya Kaki, Maadili na Madaraka ya Bunge

Ngoja tuone.

Updates;

Safari hii Ndugai amekosa wapinzani wa kukamata amenza kukamata watu wake
 
Jerry Slaa tangu alipopata kura yangu kati ya nyingi nyingine alizopata kupitia ushawishi wa JPM hajaonekana huku jimboni kwake ambapo kuna kero nyingi tu tena za miaka mingi.

Kama ataadhibiwa na Spika kwa kutoa siri kuwa wabunge hawalipi kodi na yeye kama sisi anaamini kuwa kwenye mapato ya mbunge, kodi hata kama wanalipa ni kidogo, ukilinganisha na mwananchi anavyokamuliwa, ni bora ajiuzulu tu hiyo nafasi awaachie wale wasioona taabu kuwa wanafiki.

Jimbo hili hata hivyo halikuwahi kuwa na mbunge. Ni uchochoro tu wa Watu kujinufisha.
Kama ulichagua CCM basi hizi tozo zinakuhusu
 
Huwa wanaenda kama mashahidi na siyo watuhumiwa ndio maana hawaruhusiwi kuwa na mawakili.

Spika ndio anawashtaki na wao huenda kutoa ushahidi wao kwenye kamati kisha ripoti hupelekwa kwa Spika ambaye hutoa maamuzi ya mwisho.
Anayewashitaki ndiye mtoa hukumu maajabu ya filauni.
 
Huwa wanaenda kama mashahidi na siyo watuhumiwa ndio maana hawaruhusiwi kuwa na mawakili.

Spika ndio anawashtaki na wao huenda kutoa ushahidi wao kwenye kamati kisha ripoti hupelekwa kwa Spika ambaye hutoa maamuzi ya mwisho.
Yani unaambiwa wametenda makosa ikiwemo kushusha hadhi ya Bunge, wewe unasema wanaenda kama mashahidi!
 
Wakimalizana na sisi wataanza na nyinyi.
Hata katika maisha yetu ukiona watoto wanamfukuza mwenzao wa kambo asile ugali wakishamtoa wanaanza kugombania wao ugali ili ambake mwenye nguvu aendelee kula. Kwanza naona mama lile lemba analovaa anajichosha tu maana mambo anavyoyapeleka bora sheikh anayekula guruwe tu maana ukishakua CCM utu unatoka unabaki unafiki, husuda,wizi na dhuluma
 
Nafikiri hiyo ni haki yake pia.

Hivi hawa watu huwa hawaruhudiwi kwenda na lawyers wao kwenye issue kama hizi? cc Pascal Mayalla
Kuhojiwa na Kamati hakuhitaji kwenda na mwanasheria, kwasababu hii sio mahakama ni just a quasi judicial body na ilipaswa kuishia kwa wabunge tuu. Hii ya Bunge kuwahoji watu nje ya Bunge kama mimi nilivyo itwa ni kinyume cha justice system yetu!.
Bunge limejiinua mno hadi masikio kutaka kushinda kichwa!.
P
 
Bahati mbaya hatuna bunge tuna kusanyiko la waharifu
 
Hata katika maisha yetu ukiona watoto wanamfukuza mwenzao wa kambo asile ugali wakishamtoa wanaanza kugombania wao ugali ili ambake mwenye nguvu aendelee kula. Kwanza naona mama lile lemba analovaa anajichosha tu maana mambo anavyoyapeleka bora sheikh anayekula guruwe tu maana ukishakua CCM utu unatoka unabaki unafiki, husuda,wizi na dhuluma
Kweli anadhalilisha dini bure
 
Back
Top Bottom