Jerry Silaa: CAG amempongeza Rais Samia

Jerry Silaa: CAG amempongeza Rais Samia

Hako kataahira huku ukonga hawataki hata kukaona ndio maana kamefanya figisu jimbo ligawanywe
 
Hayo ni mawazo yako , only moroni people can say that
 
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa akizungumza na Clouds FM amesema

"Ukisikiliza ile ripoti ya CAG utaona Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Serikali amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ile Ibara ya 143, Ibara ndogo ya 4 ya Katiba ya kupokea taarifa na kufikisha bungeni. Ni suala la katiba. Ambalo pengine Serikali ingeona kuna tatizo kubwa ingetafuta njia yoyote ya kuweza kuitafutia sababu... Lakini Mhe Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akifanya hivyo kwa miaka yote Minne akiwa kwenye uongozi wake"

Kwa sieji ni mwanasiasa
 
Back
Top Bottom