Jerry Silaa amesahaulika ama ni upepo?

Jerry Silaa amesahaulika ama ni upepo?

Mkuu niliongea nae pale akiwa cohort ya 20 na Mama Jaji Dr Fauzia
Commercial Laws kidogo zilikuwa zinamsumbua
Labda walimkamata na ww ndiyo ukamkuta

Anyway labda mm ndiyo mechanganya!
Umekosea mkuu. Sifa ya kujiunga na LST ni lazima uwe na LL.B. Jerry alihitimu LL.B yake OUT 2015, sasa cohort ya 20 aliingiaje? As we speak now cohort ya 20 wako field, na cohort ya 21 masomo yalianza mwezi March. Can you make these calculations to prove what you're saying?
 
Mkuu niliongea nae pale akiwa cohort ya 20 na Mama Jaji Dr Fauzia
Commercial Laws kidogo zilikuwa zinamsumbua
Labda walimkamata na ww ndiyo ukamkuta

Anyway labda mm ndiyo mechanganya!
More important to remember cohort ya 20 hata final exams hawajafanya, so there is no way akawa ameshikwa somo lolote maana ili mtu ajue status yake academically lazima awe amefanya final exams ndio atajua kama ameshikwa au la
 
Upo sahihi
My daughter kapiga supp na cohort ya 20
Matokeo yao ni August yanatoka

Jerry yupo ktk cohort hii kama nipo sahihi
 
Huyo jamaa alitumia hadi msiba Wa Baba yake kumpa promo JPM lakini kapotezewa.
 
Kuna kitu hakimkijui kuhusu huyu kijana, Jerry alikuwa anaishi kwa nguvu ya waganga wa kienyeji kafanya mengi mabaya kwa ajili ya nafasi nguvu umaarufu na cash
Lakini kama tujuavyo uchawi wa maagano na makafara hautokesheki, Jerry akaanza kuchoka, maamuzi yake mengi yakaanza kuonekana si sawa HAKUSHTUKA bado mzee akafariki hapo ndo akaonja uchungu wa ushirikina! Yaliyofuatia yanajulikana
mkuu,unamaanisha alimroga baba ake ama??
 
Umekosea mkuu. Sifa ya kujiunga na LST ni lazima uwe na LL.B. Jerry alihitimu LL.B yake OUT 2015, sasa cohort ya 20 aliingiaje? As we speak now cohort ya 20 wako field, na cohort ya 21 masomo yalianza mwezi March. Can you make these calculations to prove what you're saying?
inaezekana yupo kwenye elimu ya mwendo kasi mkuu kwa udhamini wa ccm,si unaona kina kamara,nchimbi,rwakatare ni madokta wa falsafa lakini haijulikani walisoma wapi.
 
I just wish mgejua kuwa Jerry is somewhere preparing himself to rise in a bigger professional position. Don't always have prejudicial negative attitudes. At least I write with confidence kwamba Jerry Silaa hajapotea but us somewhere prepared for come back again
Mbwiiiiiii...!! Kudadeki unajitekenya na kucheka mwenyewe, na bado mtaisoma namba kwa herufi kubwa, mlikuwa mnalinga sana nyinyi na kuona nchi hii ni yenu peke yenu.
 
Yupo pending, muda simrefu atateuliwa kuwa RC au DC, ukiwa ccm hufi njaa bhana
 
siasa za makundi zina risk kubwa ingawa zinalipa...
nadhani alichagua kundi la kukosa
Alichaguwa kundi la kukosa kivipi wakati Umeya aliwekwa na Lowasa? Au unadhani kumuangusha Mzee Abuu Juma kwenye umeya wa Ilala ilikuwa kazi ndogo?

Swali ni je? Hiyo miaka mitano mapesa yote aliyopiga alijiandalia future au alidhani bahati inakuja mara mbili?
 
Yeye na prince walifanya kufuru kubwa ya kutaka kununua matokeo ya Ukonga. Baada ya matokeo ya awali kuonyesha kuwa anapigwa chini Prince alipigiwa simu akaja na akataka kuingia ndani wakamkatalia maana hata jimboni walimshangaa anataka kuingia kama nani ? Walimpomtafuta Mwita ili akubali kuchukua Mil 300, Mwita akawaambia mkinipa hizo pesa hao wafuasi wa Ukawa huko nje ambao wana wawakilishi wao mule ndani ntawaambiaje ? Hali ikawa ngumu Mwita aligoma kuchukua pesa na ndio ukawa mwisho mwema wa kijana yule.
 
inaezekana yupo kwenye elimu ya mwendo kasi mkuu kwa udhamini wa ccm,si unaona kina kamara,nchimbi,rwakatare ni madokta wa falsafa lakini haijulikani walisoma wapi.
Mzee not everything is politics. At times we should learn to accept even if we don't want to hear that. Simkubali Jerry but I have to accept his personal initiative.
 
Kama yule aliyekuwa tamisemi kapotezwa mbaya,ila ki ukweli hakuwa na sifa hata chembe,sasa hivi anahangaika tu bungeni na ushungi wake
TAMISEMI wote chali kuanzia Sagini, waziri wa ushungi,Naibu Mwanri, kasoro Majaliwa tu
 
Back
Top Bottom