Jerry Silaa amesahaulika ama ni upepo?

Jerry Silaa amesahaulika ama ni upepo?

Mimi ni moja ya watu ambao niliamini kijana huyu alie wahi kuwa Meya wa Ilala angechomoza na kutamalaki katika hawamu hii ingawa alikosa ubunge jimbo la Ukonga, swali langu kubwa nikipi hasa kimempoteza haraka kijana huyu kwenye ulingo wa siasa?Maana baada ya kukosa ubunge wengi tulitegemea atachomoza kwenye uRC na uDC.
Jerry Slaa
Mama Sofia Simba
Dr Nchimbi
Ndiyo walio ongoza mgomo ktk sekretarieti Kuu kupinga kuenguliwa jina la Lowassa bila kupigiwa kura!
Watu hawa watatu hawatakiwi kabisa ndani ya CCM kwa sasa
Mama Simba atakatwa kuwania uenyekiti wa Wanawake CCM ili asiingie Bungeni mwaka 2020!Husna Mwalima Mbunge aliyemuangusha Kafulila Kigoma ndiye atachukua nafasi yake
 
Mkuu nmepata kusikia stivu nyerereee yule msanii anasema
"ambao hatukuokota nao kuni ndo wameenda kuota moto"
statement kali sana hiyo...mana jamaa walikuwa kama majuha majukwaani wakitegemea return
Mkuu mi nacheka tu leo. Jamaa walikuwa kama majuha.....!
 
Huyo ndo asahau,alishawahi kumdisi JPM tena mbele ya media.
 
huyu mtoto Jerry nikigeugeu haamini wala sio wa kumwamini.
huyu Jerry amebebwa na Familia ya Jakaya sana mpka kufikia hapo alipofikia

katika mchakato wa Uchaguzi ccm alikua bega kwa bega na Lowassa huku akijua hii Familia ya Mrisho inamsaport Benard {SIMBA WA RONDO} wakampotezea wakasema ni uhuru wake, sasa Baada ya Lowassa kupigwa Mkasi kule DODOMA katia watu waliopangwa kutoka nje na kusema hauridhiki ni yeye Jerry, Sadifa Juma Nchimbi Kimbisa pamoja na Mama La Mama Sophia Simba rejea hii kauli {hakuna mwanaume kamaLowasa ccm by Sophia Simba}

kwa maaana hiyo Jerry hana lake kwenye huu utawala labda Ngosha aamue tu kumuona ni utoto tu ulikua unamsumbua na Pesa za LUWASA ZILIMCHANGANYAAAA
Swadakta 100 %
 
Kibaraka yeyote aliyewekwa madarakani na Kikwete lazima atasahaulika tu katika utawala huu wa ukweli na uhakika. Si mnamuona kijana Le Mutuz alivyojitahidi kujishebedua kwa JK ili apate U-DC, kaishia wapi? Bado yupo tu anakuwadi mademu wasiojitambua kwenye mitandao, mshahara kumbatio na kikombe cha chai ya rangi ya mkono mmoja.
 
Huyu si alikuwa timu Membe ni lini alikuwa kwa Lowassa?
 
Mimi ni moja ya watu ambao niliamini kijana huyu alie wahi kuwa Meya wa Ilala angechomoza na kutamalaki katika hawamu hii ingawa alikosa ubunge jimbo la Ukonga, swali langu kubwa nikipi hasa kimempoteza haraka kijana huyu kwenye ulingo wa siasa?Maana baada ya kukosa ubunge wengi tulitegemea atachomoza kwenye uRC na uDC.
Mkuu tusiishi kwa kukariri kuwa Jerry ndio the best.amsure kuna vichwa vikali sana tu ambavyo vilikuwa havijapata fursa.sasa wewe bakia unamuimba Jerry huku watu wanachapa kazi.Amaaa
 
Kweli MKUU tumeona wanaccm walioshindwa ubunge wamepewa UDC au ukurugenzi au hakumpigia debe kiongozi
 
huyu mtoto Jerry nikigeugeu haamini wala sio wa kumwamini.
huyu Jerry amebebwa na Familia ya Jakaya sana mpka kufikia hapo alipofikia

katika mchakato wa Uchaguzi ccm alikua bega kwa bega na Lowassa huku akijua hii Familia ya Mrisho inamsaport Benard {SIMBA WA RONDO} wakampotezea wakasema ni uhuru wake, sasa Baada ya Lowassa kupigwa Mkasi kule DODOMA katia watu waliopangwa kutoka nje na kusema hauridhiki ni yeye Jerry, Sadifa Juma Nchimbi Kimbisa pamoja na Mama La Mama Sophia Simba rejea hii kauli {hakuna mwanaume kamaLowasa ccm by Sophia Simba}

kwa maaana hiyo Jerry hana lake kwenye huu utawala labda Ngosha aamue tu kumuona ni utoto tu ulikua unamsumbua na Pesa za LUWASA ZILIMCHANGANYAAAA
Sawa bwana Luwasa
 
Yaani JK kweli ni chiboko yao, huyu jamaa ni msanii na anajuwa haswa kulostisha watu. Mawaziri wake wote wamesahaulika kwa muda mfupi tu, wengine wanazidi kukesha kwa waganga kupinga matokeo ya ubunge majimboni mwao ili wabahatishe kuchaguliwa tena uwaziri. Kikwete oyeee, sambaratisha babake.
 
Mkuu tusiishi kwa kukariri kuwa Jerry ndio the best.amsure kuna vichwa vikali sana tu ambavyo vilikuwa havijapata fursa.sasa wewe bakia unamuimba Jerry huku watu wanachapa kazi.Amaaa
wapi kwenye huo uzi jerry katajwa ni the best
 
Ndio maana tukasema adui wa mkuu wapo ndani ya chama chake...na ndio maadui wabaya.
 
Back
Top Bottom