mbondole01
Member
- Jul 30, 2015
- 11
- 7
Du!!?? siasa za bongo hatari
Walikuwa wametengeneza mtandao wao mkubwa sasa mtandao umevurugwa na kuvunjwa maana wasiyempenda kaja alisumbua sana alipokuwa meya pale Ilala utadhani Mungu Mtu fulani hivi, sasa namba itasomwa sana na bora tuheshimiane mtaani sasaMimi ni moja ya watu ambao niliamini kijana huyu alie wahi kuwa meya wa ilala angechomoza na kutamalaki katika hawamu hii ingawa alikosa ubunge jimbo la ukonga...
swali langu kubwa nikipi hasa kimempoteza haraka kijana huyu kwenye ulingo wa siasa????,,maana baada ya kukosa ubunge wengi tulitegemea atachomoza kwenye uRC na uDC.
Yaani kwa hili hata ule Uvasco Dagama wa kaka yangu wa Msoga ninausahau, that was a perfomance.Walikuwa wametengeneza mtandao wao mkubwa sasa mtandao umevurugwa na kuvunjwa maana wasiyempenda kaja alisumbua sana alipokuwa meya pale Ilala utadhani Mungu Mtu fulani hivi, sasa namba itasomwa sana na bora tuheshimiane mtaani sasa
Tulishakua na tabaka la watawala na watawaliwa mkuu.kumbe kuna watu lazima wateuliwe kila mara?
mkuu jery yupo ndani ya cckumbe kuna watu lazima wateuliwe kila mara?
Siasa siasani.
it's how you play your cards.
Hakuna mwanasiasa wa kudumu
Ulikuwa hujui hili???kumbe kuna watu lazima wateuliwe kila mara?
Hivi waliokuwa wakimsapoti Lowasa ndani ya CCM wanadhambi gani? Je si kawaida watu kuwa na makundi wanayoyaunga mkono wakati wa mchakato wa uchaguzi? Sasa kwa nini mshindi anapopatikana anawaona wale ambao hawakumuunga mkono kama wasaliti? Hizi siasa za Africa hizi acha tu.huyu mtoto Jerry nikigeugeu haamini wala sio wa kumwamini.
huyu Jerry amebebwa na Familia ya Jakaya sana mpka kufikia hapo alipofikia
katika mchakato wa Uchaguzi ccm alikua bega kwa bega na Lowassa huku akijua hii Familia ya Mrisho inamsaport Benard {SIMBA WA RONDO} wakampotezea wakasema ni uhuru wake, sasa Baada ya Lowassa kupigwa Mkasi kule DODOMA katia watu waliopangwa kutoka nje na kusema hauridhiki ni yeye Jerry, Sadifa Juma Nchimbi Kimbisa pamoja na Mama La Mama Sophia Simba rejea hii kauli {hakuna mwanaume kamaLowasa ccm by Sophia Simba}
kwa maaana hiyo Jerry hana lake kwenye huu utawala labda Ngosha aamue tu kumuona ni utoto tu ulikua unamsumbua na Pesa za LUWASA ZILIMCHANGANYAAAA
Hivi waliokuwa wakimsapoti Lowasa ndani ya CCM wanadhambi gani? Je si kawaida watu kuwa na makundi wanayoyaunga mkono wakati wa mchakato wa uchaguzi? Sasa kwa nini mshindi anapopatikana anawaona wale ambao hawakumuunga mkono kama wasaliti? Hizi siasa za Africa hizi acha tu.
Waache wafu wazike wafu wao!!Hivi Sophia Simba atagombania tena uwenyekiti?
kwahiyo?mkuu jery yupo ndani ya cc
haiko hivyo popote..Ulikuwa hujui hili???
Sawa mkuu, kwa hili nimekuelewa kwa maana ya dhana nzima ya "collective responsibility". Lakini kila siku tunaona threads hapa kuwa wale waliokuwa wakimsapoti Lowassa hata kama hawakuwa kwenye vyombo vya maamuzi kama CC hawateuliwi katika nafasi zozote zile badala yake jitihada zinafanyika kuwatupilia mbali. Katika dhana ya ushindani wa kidemokrasia hii si sawa. Baada ya mchakato wote wanatakiwa wawe kitu kimoja.Tatizo sio Lowassa au kumsapoti Lowassa. Jerry Nchimbi Sophia Sadifa na Kimbisa ni wajumbe wa kamati kuu ya ccm. uamuzi uliofikiwa kwenye kikao walipaswa kukubaliana na kile kilichofanyika wao walichofanya ni kutaka kugawa chama..
kwani ni wanachama wangapi walikua wanamsapoti Lowasa lkn wanakula bata tu ccm? walikubaliana na uamzi wa cc ya ccm
Sawa mkuu, kwa hili nimekuelewa kwa maana ya dhana nzima ya "collective responsibility". Lakini kila siku tunaona threads hapa kuwa wale waliokuwa wakimsapoti Lowassa hata kama hawakuwa kwenye vyombo vya maamuzi kama CC hawateuliwi katika nafasi zozote zile badala yake jitihada zinafanyika kuwatupilia mbali. Katika dhana ya ushindani wa kidemokrasia hii si sawa. Baada ya mchakato wote wanatakiwa wawe kitu kimoja.