Jerry nilimsikia wakati anahojiwa na chombo kimoja cha habri, kijana anahekima na busara... anaweza kuongea na lika lote katika jamii!!!Japokuwa sio mshabiki wa viongozi wa lumumba ila kwa kawaida ata vichaa waga wanazidiana ujinga, mara 1000 ya jerry kuliko makonda walahi, slaa alikuwa ana uwezo wa kukusanya kijiji na akatema point tupu hadi unatikisa kichwa, sikui alifikaje fisiemu maana yale sio material yao kabisa
Asante mkuu... wewe wa ushagoo utaendelea kuona mzungu ndo lulu kwa taifa hili kuriko mzawa, sitabishana na weweNi lulu kwako wewe na ukoo wako
huyo kijana abaki hukohuko mitini. alipata laana baada ya kuonyesha hadharani dharau kwa fikra na itikadi ya baba wa taifa mwalimu nyerere. baada ya kupigapiga dili akawa tajiri akaona ajipendekeze kwa mabwanyenye na kudharau watu maskini huku anapenda uongozi.NI kijana alielelewa na UVCCM mpaka kufika nyadhifa za juu za kamati kuu... ila sasa mkulu anafumba macho juu ya lulu hii ambayo dar es salaam iliiona kama tumaini mbele ya maisha mema!!!
jerry kama kijana msomi alijipambanua mbele ya wanyonge na wenye haki kama msmamizi wa usawa mbele ya jamii... leo hii yuko wapi!!!!
Mstahiki meha na mpambanaji wa miradi mbalimbali ya mendeleo jijini!!! msomi halali katika vyuo vyetu hapa nchini, mhitim wa shule ya sheria pale mwenge!!! lulu hizi zinaenda wapi!???
vijana kama hawa tuwape nafasi katika serikali hii inayoonekana kukashifiwa na kupondwa mbele ya jamii... yamkini wakaonyesha mabadiliko kutokana na uzoefu na elimu walionayo....
tuangalie na upande wa pili.... TUNAJENGA NCHI MOJA
Bembeleza kibarua!Asante mkuu... wewe wa ushagoo utaendelea kuona mzungu ndo lulu kwa taifa hili kuriko mzawa, sitabishana na wewe
Sisiyemu hakuna msafiAcheni mambo ya kinafiki ya kizamani yaliyopelekea chama chenu CCM kupoteza ushawishi. Sio lazima Jerry apewe nafasi na mkuu. Mwambie atumie elimu yake kujiajiri na kuajiri watu, alishapewa nafasi akiwa mdogo alitakiwa sasa yeye awe na mtaji wa fedha na network ya watu prominent atumie resource hizo kujiajiri na kuajiri vijana ambao wametoka kuhitimu chuo na hawajapata fursa kama zake.
Nilidhani angesema ana Master's degree au PhD. Kumbe post graduate diploma ya practical legal training pale Law School. Huyu si msomi wa kupewa attention. Ndo maana anadai attention. Kuna gapes bado kitaaluma. Kuna watu tuna post graduate diploma,Master's degree mbili, PhD on progress, tena zote ktk fani ya sheria,lakini hatuna kazi. Who is he?Ana MKIA kwanza au hana😵😵
hahaha "na ushungi wake"Kama yule aliyekuwa tamisemi kapotezwa mbaya,ila ki ukweli hakuwa na sifa hata chembe,sasa hivi anahangaika tu bungeni na ushungi wake
Busara na hekima ni kitu kizuri sana katika maisha yetu ya kila sikuAkiwa Meyaaaa alimjibu ovyooo waiziri dhamana wa madaraja ati haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwaaaa
Wacha aisome namba
Rozi-mtamuWewe naona humjui King Maker mzee wa vodacom