OkayMtaisoma namba kweli, tena namba zenyewe zimeandikwa kiebrania, bora hata za kirumi shuleni tulifundishwa!
urais wa chama cha soka ama??Mbona na alishasema atagombea URAIS mwaka 2025! Amepumzika akipanga mipango.
Kilichokuudhi hapo ni ushungi...Kama yule aliyekuwa tamisemi kapotezwa mbaya,ila ki ukweli hakuwa na sifa hata chembe,sasa hivi anahangaika tu bungeni na ushungi wake
Mbona wewe umemkumbuka?Mimi ni moja ya watu ambao niliamini kijana huyu alie wahi kuwa Meya wa Ilala angechomoza na kutamalaki katika hawamu hii ingawa alikosa ubunge jimbo la Ukonga, swali langu kubwa nikipi hasa kimempoteza haraka kijana huyu kwenye ulingo wa siasa?Maana baada ya kukosa ubunge wengi tulitegemea atachomoza kwenye uRC na uDC.
huyu mtoto Jerry nikigeugeu haamini wala sio wa kumwamini.
huyu Jerry amebebwa na Familia ya Jakaya sana mpka kufikia hapo alipofikia
katika mchakato wa Uchaguzi ccm alikua bega kwa bega na Lowassa huku akijua hii Familia ya Mrisho inamsaport Benard {SIMBA WA RONDO} wakampotezea wakasema ni uhuru wake, sasa Baada ya Lowassa kupigwa Mkasi kule DODOMA katia watu waliopangwa kutoka nje na kusema hauridhiki ni yeye Jerry, Sadifa Juma Nchimbi Kimbisa pamoja na Mama La Mama Sophia Simba rejea hii kauli {hakuna mwanaume kamaLowasa ccm by Sophia Simba}
kwa maaana hiyo Jerry hana lake kwenye huu utawala labda Ngosha aamue tu kumuona ni utoto tu ulikua unamsumbua na Pesa za LUWASA ZILIMCHANGANYAAAA
nadhani kishaomba poo. hawa vijana wakipewa madaraka wakiwa wadogo huwa wanajisahau sanaUgomvi wao je? Wakigombea mabango na ko zake ? JPM anasema toa Jerry anasema hatoi ni mapato ya manispaa!
Hii inamuhusu GumboHakuna kitu kibaya kama kuvimba kichwa unapokuwa kiongozi, unarefusha masikio bila kuifikiria kesho yako Vijana waliop madarakani wajifunze sana kuheshimiana kazini na wakubwa wao na wadogo kwao.
Ni lulu kwako wewe na ukoo wakoNI kijana alielelewa na UVCCM mpaka kufika nyadhifa za juu za kamati kuu... ila sasa mkulu anafumba macho juu ya lulu hii ambayo dar es salaam iliiona kama tumaini mbele ya maisha mema!!!
jerry kama kijana msomi alijipambanua mbele ya wanyonge na wenye haki kama msmamizi wa usawa mbele ya jamii... leo hii yuko wapi!!!!
Mstahiki meha na mpambanaji wa miradi mbalimbali ya mendeleo jijini!!! msomi halali katika vyuo vyetu hapa nchini, mhitim wa shule ya sheria pale mwenge!!! lulu hizi zinaenda wapi!???
vijana kama hawa tuwape nafasi katika serikali hii inayoonekana kukashifiwa na kupondwa mbele ya jamii... yamkini wakaonyesha mabadiliko kutokana na uzoefu na elimu walionayo....
tuangalie na upande wa pili.... TUNAJENGA NCHI MOJA