Bila ya huyu jamaa Ghana ingekuwa kama Tanzania tu..ingekuwa shit hole country, Kama zingine chini ya Jangwa la SaharaMtu wa haki huyo? Hujui unachozungumza!
Huyo ni murderer! Na yeye amekufa na kuonja mauti!
Huyu aliua majaji na marais wa zamani wa Ghana.
Soma historia ya Ghana kwanza kabla ya kutuletea upupu humu
Kama Waghana wanamlilia inatosha,..Mtu wa haki huyo? Hujui unachozungumza!
Huyo ni murderer! Na yeye amekufa na kuonja mauti!
Huyu aliua majaji na marais wa zamani wa Ghana.
Soma historia ya Ghana kwanza kabla ya kutuletea upupu humu
Gaidi Kwako ni Shujaa Kwa mwenzako..Huyu former Flight liutenant ana complicated legacy! Lakini hili jukwaa vilaza wengi siku hizi.
Eti mtu anasema jamaa ni shujaa! Sijui watu wema hawadumu! Blah blah!
Itakuwa shangwe, nderemo, na furaha kuu..Navuta picha tu.
Naamka asubuhi nafungulia redio napokelewa na wimbo wa taifa ukifuatiwa na tangazo lisemalo "jiwe limeenda peponi".
Looooh!!!
Woga wetu ndio umasikini wetu..Historia anasema Hawa walikuwa vijana wasioogopa kutwaa madaraka ili kuiokoa nchi toka mikono kongwe ya wazee wala rushwa kubwa kupitia vyeo vyao katika utumishi wa umma...
Alikua anaua wala rushwa tofauti huyuBila ya huyu jamaa Ghana ingekuwa kama Tanzania tu..ingekuwa shit hole country, Kama zingine chini ya Jangwa la Sahara
Saa nyengine inabidi uuwe ili kuwaweka watu katika njia iliyonyooka
Waghana wanamlilia wewe unasema jamaa alikuwa muuwaji, labda aliowauwa waliokuwa wauwaji kama Magu..
Tafakari
Kuna li mtu likifa nitafanya sherehe
Mtu wa haki?
Shangaa na weweHuyu former Flight lieutenant ana complicated legacy! Lakini hili jukwaa vilaza wengi siku hizi.
Eti mtu anasema jamaa ni shujaa! Sijui watu wema hawadumu! Blah blah!
Peleka ujinga wako huko. Jisumbue hata kujisomea tu. Majaji wa mahakama kuu, marais na maafisa waandamizi wa jeshi waliuwawa in cold blood! Sasa nini huelewi? Uhai wa binadamu ni treasured wewe kuku! NiacheKwani ukiwa rais wa Zamani ndio unakuwa msafi, huku bongo mna ujinga , eti rais mstaafu hawezi kushitakiwa sasa mnataka kuambukiza kila mtu ujinga wenu.
Peponi? Asilan!Navuta picha tu.
Naamka asubuhi nafungulia redio napokelewa na wimbo wa taifa ukifuatiwa na tangazo lisemalo "jiwe limeenda peponi".
Looooh!!!