Kiazi Kikuu
Member
- Feb 18, 2009
- 8
- 0
Jamani wana-great thinkers, ni muda sasa hakuna lolote linaendelea kuhusu Jerry Muro. Kumetokea nini? Mwenye nyepesi nyepesi naomba anijuze!
Kwa kawaida unapokuwa na mashtaka ya jinai (hasa ukiwa mfanyakazi wa serikalini) huwa unasimamishwa kazi mpaka hapo mashtaka yako yatakapokwisha, so kwasasa hawezi kuonekana tena kwenye kipindi chake mpaka kesi yake iishe tena ionekane kuwa hana hatia.
kasepa huyo hakuna lolote
Jamani wana-great thinkers, ni muda sasa hakuna lolote linaendelea kuhusu Jerry Muro. Kumetokea nini? Mwenye nyepesi nyepesi naomba anijuze!
Kwa sasa anakabiliwa na kesi nyingine mahakama ya mwanzo kinondoni
NINACHOJUA KATIKA sheria za utumishi wa UMMA hapa TZ, mtumishi akiwa na kesi inayohusiana na JINAI yoyote, na kisha polisi ama jamuhuri ikamfikisha mahakamani, basi tangu hapo mtumishi husimamishwa kazi, na kuanzia hapo mwisho wa mwezi anastahili nusu mshahara, na ikatokea akashinda kesi basi ile nusu yake yooote analipwa.hata ucku wa habari simwoni tena kunani jamani wenye taarifa watujuze
Kaongezewa kesi nyingine. Wakati wa kutoa gari lake alikopoa milion mojana laki tano. Akalipa milioni moja ikabaki laki 5 chakushangaza eti huyo aliyemkopesha kampeleka mahakamani kudai fidia million 15.
si unajua nchi hii ukitenda mabo unaanza kivyako reflect g.wa mshiko ilikuwa kama hivi
naogopa kukujuza zaidi ila mmh labda swahiba pakajimmy atakujuza.
conquest