Jerry Muro yu wapi?

Kiazi Kikuu

Member
Feb 18, 2009
8
0
Jamani wana-great thinkers, ni muda sasa hakuna lolote linaendelea kuhusu Jerry Muro. Kumetokea nini? Mwenye nyepesi nyepesi naomba anijuze!
 
hata ucku wa habari simwoni tena kunani jamani wenye taarifa watujuze
 
si unajua nchi hii ukitenda mabo unaanza kivyako reflect g.wa mshiko ilikuwa kama hivi
naogopa kukujuza zaidi ila mmh labda swahiba pakajimmy atakujuza.
conquest
 
Kwa kawaida unapokuwa na mashtaka ya jinai (hasa ukiwa mfanyakazi wa serikalini) huwa unasimamishwa kazi mpaka hapo mashtaka yako yatakapokwisha, so kwasasa hawezi kuonekana tena kwenye kipindi chake mpaka kesi yake iishe tena ionekane kuwa hana hatia.
 
ndomana naipenda jf home of great thinker
 
usinikope umbea drphone kama una nyeti kaa wakujuze watu kuwa mpole kama bob vile Time will tell
conquest
 
Kipindi cha Usiku wa Habari sasa hivi kimekuwa Bogus!..wanahojiwa watoto wa mitaani na akina JOTI NA mASANJA!...what a waste product!
Mungu msaidie huyu Jerry Muro arudi kazini, ili wengine tuanze upya kungalia TIBISII!
 
YUPO kapandishwa kizimbani juzi anadaiwa alikopa gari akaahidi angemaliza deni kashindwa jamaa andai 15mil.nuksi bin nuksi.......lol!
 
hata ucku wa habari simwoni tena kunani jamani wenye taarifa watujuze
NINACHOJUA KATIKA sheria za utumishi wa UMMA hapa TZ, mtumishi akiwa na kesi inayohusiana na JINAI yoyote, na kisha polisi ama jamuhuri ikamfikisha mahakamani, basi tangu hapo mtumishi husimamishwa kazi, na kuanzia hapo mwisho wa mwezi anastahili nusu mshahara, na ikatokea akashinda kesi basi ile nusu yake yooote analipwa.
kwa hoja hiyo Jerry Muro , hawezi kuonekana TBC hadi kesi yake itakapomalizika, na kama ikatokea akaendelea na kazi wakati ana kesi hapo basi tutatoa hoja ya kumsimamisha mkurugenzi wake wa Utawala, hata Tiddo mwenyewe ikibidi.
Mimi nilimuona mara ya mwisho pale uwanja wa Taifa siku Simba inacheza na Mkuki wa sumu/Manyema.
 
Kaongezewa kesi nyingine. Wakati wa kutoa gari lake alikopoa milion mojana laki tano. Akalipa milioni moja ikabaki laki 5 chakushangaza eti huyo aliyemkopesha kampeleka mahakamani kudai fidia million 15.
 
Hakuna cha kushangaza hapo, inategemea alikopa lini na interest kwenye ile principal amount ime-accrue kiasi gani.
 
si unajua nchi hii ukitenda mabo unaanza kivyako reflect g.wa mshiko ilikuwa kama hivi
naogopa kukujuza zaidi ila mmh labda swahiba pakajimmy atakujuza.
conquest

toka umeingia humu unaandika vitu havieleweki. Umetokea wapi?
 
Kiazi where were you all this time manake naona hapo toka Feb 2009 una post 3 how is it possible, na kama hii umeanzaisha halau umekula kona. mh?
 
Hii issue ya Jerry ni complex. Yule Shahidi wa kwanza Bwana Wage, anachunguzwa kwa ubadhirifu. Na kesi ya Jerry inahusika na kumuomba rushwa huyu jamaa ili asimuanike kwenye TV. N Jerry aliisha sema kuwa jamaa anamiliki Tshs 2billion na mali kibao. kuendelea na hii kesi ni kuingilia uchunguzi wa Wage wa ubadhirifu. Kinachofanyika ni delay ya kesi ya jerry mpaka mambo yakamilike kuhusu Wage.

Hivyo basi Jerry hataonekana kwa muda mrefu tu kutokana na unyeti wa kesi yake.
 
Back
Top Bottom