Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Hata mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro besti...Masai to be exact. Lakini sina mtazamo huo. Kuwa ni mitazamo ya aina hiyo ni hatari sana katika jamii.Hapana ni mimi, but ni mzaliwa wa Kilimanjaro
Hata mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro besti...Masai to be exact. Lakini sina mtazamo huo. Kuwa ni mitazamo ya aina hiyo ni hatari sana katika jamii.Hapana ni mimi, but ni mzaliwa wa Kilimanjaro
Huyu ni bushlawyer yani njaa kaliKuna siku katika hizi "siledi" za kufukua makaburi nikaona kumbe Ruttashobolwa alikuwa CHADEMA!!!
Yani faida 50%/50% maana yake ni nini? Share holder mmoja ana shares 16% mwingine ana majority 84%....Logic ya mgao wa faida kwa 50% iko wapi hapo?hata kujenga smellter ni 50/50 hasara ikitokea ni 50/50,kwa wale tuliosoma mambo ya uchumi kuhusu shares unagawiwa faida kutokana na asilmia ya shares ulizo nazo.sasa hili la faida 50/50 kidogo lina ukakasi watufafanulie zaidi inawezekana kuna siasa ndani yake.
Naomba kuuliza, hiyo 50% ni Kwenye Gross Profit au Net Profit.
Kama kwenye Gross Profit, sio move mbaya.
Na kama ni kwenye Net Profit basi Barrick watakuwa wameichezea tena Serikali.
Kumbukeni hawa jamaa wanatumia zile system za Offshore parent company, yaani kwenye Gross Profit kuna pesa za marejesho wanalipa kampuni mzazi. Kwenye haya marejesho riba huwa ni kubwa.
Ndio maana kampuni hizi zinakuwana na Net Profit ndogo sana , pesa yote huwa wanahamishia kwa Parent company kigezo ikiwa ni kulipa deni la mtaji.
we are winning the battle while loosing the warunajisifa kupewa 0.2%(less than 1%) ya unachodai halafu unashangilia
japo mazungumzo yanaendelea, huoni kwenye mahesabu tume wamepika? that meam ACACIA wako sawa kwa 99.8% mpaka muda huu
Lissu hakukataa kama tunaibiwa ila alisema tunaibiwa kwenye mikataba ndo kitu kilichofanyiwa kazi
Mimi nampongeza Rais na Lissu inawezekana waliwasiliana hata kwenye simu kuona ni jinsi gani wanaibiwa kwenye mikataba
Sinema imetengenezwa kumlinda Mtukufu malaika toka chato asipate Aibu kubwa.Kwa mara nyingine tena tunahitimisha majadiliano kabla ya makubaliano, Noah tulizoahidiwa zimeyeyuka name sasa tunawataka watulipe haraka kabla ya wao kupata barua rasmi.
Utapata kazi kulingana na taaluma yakoAnaandika Jerry C. Muro
Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.
Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.
Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.
Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"
Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.
Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
Jerry Muro njaa itamuua na sasa anaishi kama Digdigi kutwa yupo Ofisini kwa Maliyamungu Bashite kuandaa propaganda za kijinga jinga.Yani faida 50%/50% maana yake ni nini? Share holder mmoja ana shares 16% mwingine ana majority 84%....Logic ya mgao wa faida kwa 50% iko wapi hapo?
sasa we ni wa wapi kama si wa ufipa na Lumumba? Au ni wa buguruni?Naona huyu jamaa anavizia nafasi ya Polepole...
Ila kabila lake hilo asahau kabisa...
Hajaribiwi!
Hapa najua ntakamata likes za nyumbu wa Ufipa na ntatolewa mapovu na mapanya ya Lumumba
Avute subira atapewa kaziAnautafuta ukuu wa Wilaya Kwa nguvu
Ova
dogo janja mwanamuziki?Ndio maana kuna kipindi "dogo janja" alijikuta anasema "tuwe nchi" hahahahahahaahah
Taaluma ya Jerry Muro sasa ni kukaa kwenye Nissan nyeupe kupiga watu Risasi, Udalali wa siasa, kujipendekeza kwa Mtukufu kusaka vyeo.Utapata kazi kulingana na taaluma yako
sasa we ndo unawaangusha kabisaa wenzio wa ufipani....kutokana na maandishi yako una maana kuwa hakuna kura iliyoibiwa kama mlivyokuwa mnadai hapo awali. sababu mwenye wengi ataibaje?Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani Serengeti nyumbu huwa wengi kama walivyokuwa wanachama wa CCM,
Muro anajua "mungu" wa magogoni anakaa katika sifa. Anatumia fursa, bahati mbaya teuzi zinpita ila hakati tamaa. Hizo habari za ku-read between the lines hazimhusu kabisaJerry Murro
Jerry Murro learn how to read between the lines as a journalist. I think you rushed too much to write before you could understand what is written in the agreement. Things are not yet conclusive let’s wait to the last resolution then we can celebrate or else it is still too early to celebrate