Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
Lkn ww huwa lijinga sana wapi umelipwa hata tu hizo 700?ww dzani ya ndege furani ambalo kazi yake ni kusinzia kila muda,umeshinda nn hapo kama ni deni la mirahaba ya nyuma hapo sawa lkn kifupi hata hiyo hamsini kwa hamsini unajua inagawikaje?na ulipomkosa kumua tundu lisu ni mpango wa MUNGU ili ashuhudie zaliliko lako na la huyo jamaa yenu.
 
Huyu jamaa vipi? Yanga ilikushinda siasa ndiyo kabisaa, acha wanaojua siasa wafanye siasa, tafuta kazi nyingine. Usitake kuibukia kwenye migongo ya wengine, wewe na Lissu wapi na wapi kuruta wa danger coy.
 
Jerry Muro Njoo Uone CFO WA ACACIA Andrew Wray Amesema Hawana Usd mil 300 za Kuilipa Govt.tz
Hao hata yalipozuiwa makontena walitoa press release kudai kamati ya RAIS ilidanganya,hamna dhahabu nyingi mle,sisi tuna-deal na Barrick, na ndiyo tumewaambia Ofisi ziwe hapa na siyo Ofisi ZA Acacia,Hela ziwekwe hapa pia ,acazia anafanya kupokea maelekezo ya utekelezaji kwa vile ndiyo kafanya madudu,wso watajua watam'banaje kwa uhuni huo.
 
Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
UDC mtaendekea kuusikia kwenye magazeti ya Uhuru Na mzakendo
 
Msisahau kutuonyesha na invoice ya malipo ndo tuamini mkeka
Invoce ishatoboka...acacia hawana hizo $300mn za kuipa GOT...hizo zilikuwa ni mbinu ya kuzima trending ya TL kwenye media tu!maukuku ya Lumumba toka jana yanawika kama majogoo wakiongozwa na jerry muro..tulikuwa tunayasanifu tu sasa leo kimya kama majogoo yaliyonyeshewa na mvua..feeling sorry for them!AIBUUU!
 
Hahahaaa....just..hahahahaa..! While other governments in the world are busy multiplying highly skilled scientists, scholars, teachers, lawyers and writers, your government is ridiculously using professors to seek for unbecoming ways to make money. Guys, your future shall never exist! Tell this to one another! Stop fooling yourself! Na ikiwa mtaendelea kudanganywa, basi tegemeeni ongezeko kubwa la kizazi cha vijana wanaookota makopo ndani ya miaka 20 ijayo. So pathetic!!
We jamaa mbona umeniogopesha sana kwa ukweli huu!
Hii nchi hii ni bora kuhama maana matumaini ya kuikomboa yanazidi kupotea,vijana waliopaswa kubadili upepo wanaungana na adui sababu ya njaa.
 
Naunga mkono juhudi za Mheshimiwa Raisi lakini Jerry umezidi umbeya,unafiki na kujipendekeza huwezi lingana akili na Lissu kamwe.
 
Ulitafuta nafasi ya kuwa msemaji wa Chadema.....! Waka kuchomolea ndo maana una chonga hovyo....
 
Ulevi uko namna nyingi, na kawaida ya mlevi huwa hachagui cha kusema au kuandika. Mlevi hana muda wa kufanya tafakuri zaidi ya kuulizia ukali ama ughali wa kilevi chake.
Mlevi hashindwi kusema ama kuandika chochote zaidi ya zinamtuma! Mlevi huamini wote wanaomsikiliza kawazidi akili.
Pamoja na yote mlevi hata akianguka huwa haamini kama ameanguka! Anaweza kuwahoji na kuwananga wasiolewa ama kujinadi fedha zake nk.
 
Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
Hivi hii ni njaa tu ya tumbo ndio inamsumbua huyu aliyeponea bahati kwa rushwa au ana shida ya akili!
Kweli kama hawa ndio vijana wanaotegemewa kuwa kielelezo kwa wengine,kwisha habari!
Anawashwa na nini huyu hadi anakosa subira?
Hivi haoni haya mazungumzo hayajaisha?
Hiyo bilioni 700 mtsasubiri sana!
 
Tundu lissu huyo pumba tupu hamna kitu...bora aendelee kukaa huko Nairobi mana akrud mapema ataleta nuksi kwenye majadiliano...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom