Kujua sheria za vifungu vyake ni jambo moja, kuweza kuongoza vyema ni jambo jingine.1990 Mzee Nyerere alimshauri Mzee Mwinyi avunje Cabinet iliyokuwa na Pm Mzee Warioba kwa Tuhuma Za Rushwa Na Kweli ikavunjwa Na ndio mwanzo wa Huyu Mzee kuanza kupotea Kwenye Siasa Na kuchukia Serikal zote zilizofuata hadi Hii ya JPM japo Hii kapunguza Povu Baada ya mwanae kuula u DC
Mkuu Soth, ina maana hii michezo ya hatari huwa inachezwa na macho manne? Watu wa aina hii wakikabidhiwa ikulu sijui hali itakuwaje!.Ipo siku hamtaamini ukweli utakuwa wazi na kila mtu ataona na kusikia baada kuhamgaika dunia yote kuchafua na kutangaza kuwa serikali ndio iliyoratibu na kutaka kumuua LISU mtaona miujiza kumbe umdhanie sie , kidogo juzi mmepata fununu na bado mtapata mengi kuhusu mtuhumiwa nkuu wa haya maovu ataumbuka wazi kumbe suala ni Cheo na ruzuku ya chama inachangia watu kuuawa na kufukuzwa chama.Kiongozi Mungu atakuadhibu kwa dhambi hizi kubwa hazisameheki si duniani wala mbinguni utaona cha mtema kuni maana machozi ya ben Saanane, Wangwe , Lisu , Zito na wengineo ambao wakitaka kujitokeza kukupinga unawapa adhabu mujarabu ,utaumbuka kweupe amini usiamini hakuna marefu yasiyo na ncha , unajificha kwenye shamba la maharage haikusaidii kitu ,uliopanga nao wameanza kutoa siri.
Badala ya kujikita kwenye hoja mnaingiza matusi. Chakaza wewe ni zaidi ya hayo uliyoyaandika.Iringa wamejaribu kijana akajikuta kalala malaloni na boxer ila hakuvunjiwa yai. Nasikia siku hizi hata Msigwa anamwamkia shikamoo. Ila wajeuri kama Jerry wanafaa kuvunjiwa yai kabisa. ( ingawa naambiwa hapo itakuwa kama Mamba kumayi, maana mchezo huo sio mpya kwake)
Kuna topic za watu wengine zinakutoa kabisa kwenye mudi. Huyo Jerry alijumuishwa kwenye group moja la Whatsaap lililojumuisha viongozi mbalimbali wakiwemo na mawaziri lakini majibu na majigambo yake alikutana na majibu yaliyo mfanya akimbie mwenyewe.Badala ya kujikita kwenye hoja mnaingiza matusi. Chakaza wewe ni zaidi ya hayo uliyoyaandika.
HAYA NDIO MAMBO AMBAYO CCM na VIBARAKA WAO HAWATAKI YAFANYIKE. WANADHANI KWAMBA KAULI ZAO ZA VITISHO ZITAOGOPESHA WATU KUHOJI NA WANASAHAU ZAIDI KWAMBA VITISHO NA KAULI WANAZOENDELEA KUTOA ZINALETA DHANA KWAMBA INAWEZA KUWA UTHIBITISHO KWAMBA WAO NI WATUHUMIWA NAMBA MOJA KAMA SI WAHUSIKA NAMBA MOJA.Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;
1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu
2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.
3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.
Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!
MASHALLAH MANENO MAZIMA SANA HAYO. ILA UPANDE ULIOKO HAKUNA ANAYEWEZA KUKUSIKILIZA MAANA UKO NAO LAKINI SI MIONGONI MWAO. WENGI HUMO WALISHAPOTEZA UTU NA BUSARA.Ni ujinga wa hali ya juu kumtuhumu mtu aliyejeruhiwa kwa kiwango cha Tundu Lissu na kujaribu kumnyamazisha kwa kumwambia anaharibu. Nadhani hilo ndilo exactly analotarajia kuliona Tundu Lissu.
Niliandika haya: Tundu Lissu ni fursa kwa Serikali kuonesha ubora wake - JamiiForums
Habari za weekend wakuu
Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.
Hivi Jerry kweli ni wakuzungumza maneno haya ni kweli Tundu Lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.
Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya Serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....
What goes around, always comes around.
Karma haitawaacha salama
Sent using Jamii Forums mobile app

It's politics na ndo uwanja waoHabari za weekend wakuu
Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.
Hivi Jerry kweli ni wakuzungumza maneno haya ni kweli Tundu Lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.
Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya Serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....
What goes around, always comes around.
Karma haitawaacha salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ungese wako huo upumbavu baki nao kwa dr mollel, Katibu mkuu wa CCM na kwa mbumbumbu wenzako ambao ni rahisi kukaa wakakariri propaganda za kifala fala kirahisi, Kwani chadema ndiyo waling’oa cctv camera? Walinzi wa Getini walitolewa na chadema? na chadema ndiyo walipiga marufuku kuvaa T-shirt za Tundu Lisu na kuzuia Dua, sala maombi mbalimbali na Alibadiri nchini kote? Ujue nyie vilaza wa huko CCM mna Akili finyu sana mnawadharau wananchi kwa kiwango cha kutisha mnaona kama hawaoni wala kujua unyama wenu? Kama ingekuwa ni chadema wenyewe wakati ndege ipo angani si wangechomoa mipira au wakati yupo Hospt wangefanya chochote? na kama ingekuwa ni chadema CCM wasingezuia Maombi na dua zote na wangekuwa tayari wamewakamata watuhumiwa na kuhukumiwa ndani ya week tu, acheni ujinga wenu huko CCM wote mmejitoa fahamu? Huo upumbavu mtaacha lini? Tambueni kuwa watanzania wameamka wanazijua Sinema zenu zote.Ipo siku hamtaamini ukweli utakuwa wazi na kila mtu ataona na kusikia baada kuhamgaika dunia yote kuchafua na kutangaza kuwa serikali ndio iliyoratibu na kutaka kumuua LISU mtaona miujiza kumbe umdhanie sie , kidogo juzi mmepata fununu na bado mtapata mengi kuhusu mtuhumiwa nkuu wa haya maovu ataumbuka wazi kumbe suala ni Cheo na ruzuku ya chama inachangia watu kuuawa na kufukuzwa chama.Kiongozi Mungu atakuadhibu kwa dhambi hizi kubwa hazisameheki si duniani wala mbinguni utaona cha mtema kuni maana machozi ya ben Saanane, Wangwe , Lisu , Zito na wengineo ambao wakitaka kujitokeza kukupinga unawapa adhabu mujarabu ,utaumbuka kweupe amini usiamini hakuna marefu yasiyo na ncha , unajificha kwenye shamba la maharage haikusaidii kitu ,uliopanga nao wameanza kutoa siri.
Inahitaji uwe na muda wa ziada kumjadili Jenny maana aliwahi kujipa cheo cha RC mbele ya Mkuu wa Mkoa!!!
Yaani kuwa CCM kunahitaji kuwa na roho ngumu ya ziada maana UFAHAMU INABIDI UKAE NAO MBALI
HAYA NDIO MAMBO AMBAYO CCM na VIBARAKA WAO HAWATAKI YAFANYIKE. WANADHANI KWAMBA KAULI ZAO ZA VITISHO ZITAOGOPESHA WATU KUHOJI NA WANASAHAU ZAIDI KWAMBA VITISHO NA KAULI WANAZOENDELEA KUTOA ZINALETA DHANA KWAMBA INAWEZA KUWA UTHIBITISHO KWAMBA WAO NI WATUHUMIWA NAMBA MOJA KAMA SI WAHUSIKA NAMBA MOJA.
Cc jerry muroJerry Muro ukimpa cheo cha u house girl anakubali na atakupamba kadiri awezavyo.Mzee Warioba kawaambia hawa vijana wakumbuke kuna maisha baada ya wanayemtegemea kutoka madarakaniView attachment 1019245
Alikuwa anaomba kwa mwanyikaDawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;