Jerry Muro amshukia Tundu Lissu

Jerry Muro amshukia Tundu Lissu

Habari za weekend wakuu

Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.

Hivi jerry kweli ni waku zungumza maneno haya ni kweli tundu lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.

Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....

What goes around, always comes around.

Karma haitawaacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu sio kwamba naye alitajwa kuwemo kwenye magari mawili meupe siku ya uharamia? Lazima aweweseke, na bado mpaka watembee bila nguo wote wale ili kuumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jerry Muro ukimpa cheo cha u house girl anakubali na atakupamba kadiri awezavyo.Mzee Warioba kawaambia hawa vijana wakumbuke kuna maisha baada ya wanayemtegemea kutoka madarakaniView attachment 1019245
Ndumba na juju zimewapofusha kuelewa sasa ni ngumu. Jerre anajua mambo ya kupoteza ashamtishia MTU atampoteza,hivo ujua na umaanisha asemacho
 
1990 Mzee Nyerere alimshauri Mzee Mwinyi avunje Cabinet iliyokuwa na Pm Mzee Warioba kwa Tuhuma Za Rushwa Na Kweli ikavunjwa Na ndio mwanzo wa Huyu Mzee kuanza kupotea Kwenye Siasa Na kuchukia Serikal zote zilizofuata hadi Hii ya JPM japo Hii kapunguza Povu Baada ya mwanae kuula u DC

Usidanganye watu alikuwa John Malecela siyo Jaji Warioba danganya ambao hawana kumbukumbu. Wengine tunakumbuka sana na ni heshima ya Jaji Warioba ndiyo iliyosababisha Mh. Mkapa amchaguwe Jaji Warioba kuwa Mwenyekiti wa tume ya kufanya uchunguzi namna ya kupambana na rushwa hadi leo inaitwa tume ya Warioba na report yake ipo hadi kesho. Unatia hadi aibu kuandika uwongo kama huo.
 
Huyu sio kwamba naye alitajwa kuwemo kwenye magari mawili meupe siku ya uharamia? Lazima aweweseke, na bado mpaka watembee bila nguo wote wale ili kuumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Haikosi ni mmoja kati ya wale waliokuwepo kwenye yale magari mawili.
Kauli yake ni ya kujikinga yeye binafsi zaidi ya kuikinga nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi siku hizi hakuna wazee wachawi zamani wakuu was mikoa na wilaya waliheshimu wanainchi hawakuwa na mbwebwe hivi yani mkiona wanaleta mbwebwe tu mnamlaza siku mbili chooni, akijifanya mkaidi mnamlaza juu ya mti akiwa mtupu, akijifanya mjuaji asubuhi anajikuta kajinyea tupo mtupu kati kati ya barabara kuu mjini

Sasa sijui wazee mnasubilia nini ebu fanyeji jambo
Nilivyoenda Iringa mara ya mwisho this january kuna jamaa aliniambia kuna jamaa alijikuta kalala makaburi
 
Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;

1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu

2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.

3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.

Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!
Umenena vema. Maana wakifanya hivyo basi kelele zote kwisha....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kama kuna kitu kibaya ni uongo wa kutunga. Inabidi msimamie mstari mmoja hadi ukae mioyoni mwa watu. Ati, Anazunguka dunia akiitukana serekali na kulichafua taifa.
Mbona hamyataji hayo matusi ya Lissu jamani? Mbona hamuutaji huo uchafu wake? Tuliomsikiliza tulisikia kilio chake tu kuwa;
Serekali haitaki kuchunguza aliyemwagia marisasi 38 na 16 zikiingia mwilini.
Serekali haitaki kusema waliowaondoa walinzi wa serekali kwenye nyumba za viongozi
Serekali imegoma hata kumlipia gharama za matibabu.
Sasa hapo hayo matusi yako wapi hadi Jerry uone kuwa anastahili kunyongwa juu ya mti?? Hivi wewe ungelikuwa na kauwezo ukatoa hiyo amri akanyongwa kwa sababu alithubutu kuyatamka maneno hayo, Ulimwengu ungekuelewa?? Msimchajishe mkuu wetu akatenda kwa upumbavu nyie mlioteuliwa kumshauri tafadhali sana. Tena ingelikuwa ni mimi nateua, Leo hii ningelimtumbua Jerry nimuite mkewe Lissu aje kushika hiyo nafasi kama pole kwa kuuguliwa na mume
 
Habari za weekend wakuu

Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.

Hivi jerry kweli ni waku zungumza maneno haya ni kweli tundu lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.

Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....

What goes around, always comes around.

Karma haitawaacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheki hii clip, nina mashaka na jamaa kuwa ni mmoja wa waliotekeleza mpango wa shambulio la kuua;
1. Angalia eye contact yake na anayemhoji, ukiangalia clip zake zingine utaona difference
2. Ameulizwa anamshauri nini? Majibu yake yamebeba mazito sana, moja kwa kifupi amesema mambo kadhaa, kwamba kosa la lissu halina adhabu yaani hata kunyongwa haitoshi, pili kwamba atafunzwa na ulimwengu.

My take, anaungua ndani na kuumia sana kumwona lissu bado yupo juu ya ardhi. Tuko makini this time, hawatafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa inakuumia nini.. eeeeeeeeh
Si nanyi mnajua kuongea
Acha nao waongeee
Kaongea nini cha maana hapo? Au ina shida na nahau zake za darasa la nne? Mwisho wa siku mtajitajja tu mliofanya tukio lile na ndiko mnakoelekea!
 
Habari za weekend wakuu

Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.

Hivi jerry kweli ni waku zungumza maneno haya ni kweli tundu lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.

Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....

What goes around, always comes around.

Karma haitawaacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona alichosema na ulicho andika nitofauti? Yeye kasema anachokifanya hakina adhabu.
 
1990 Mzee Nyerere alimshauri Mzee Mwinyi avunje Cabinet iliyokuwa na Pm Mzee Warioba kwa Tuhuma Za Rushwa Na Kweli ikavunjwa Na ndio mwanzo wa Huyu Mzee kuanza kupotea Kwenye Siasa Na kuchukia Serikal zote zilizofuata hadi Hii ya JPM japo Hii kapunguza Povu Baada ya mwanae kuula u DC
Inahusianaje na hoja hii? By the way, ndiyo maana mlimzawadia makofi hadharani? Hamna aibu hata kidogo ninyi watoto wa kichupa! Na karma itawatafuna kwa kelele kama ukoma na sijui mtavifichaje mabutu ya madole yenu yaliyokatika! Hata maandiko juu ya wazazi na wazee hamyasomi?
 
1990 Mzee Nyerere alimshauri Mzee Mwinyi avunje Cabinet iliyokuwa na Pm Mzee Warioba kwa Tuhuma Za Rushwa Na Kweli ikavunjwa Na ndio mwanzo wa Huyu Mzee kuanza kupotea Kwenye Siasa Na kuchukia Serikal zote zilizofuata hadi Hii ya JPM japo Hii kapunguza Povu Baada ya mwanae kuula u DC
Dah kwamba huyu Mzee anachoongea hakina maana na kwamba bado "anawivu na hasira" za kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri la mwaka 1990?

Mungu atusaidie kwa fikra hizi!
 
1990 Mzee Nyerere alimshauri Mzee Mwinyi avunje Cabinet iliyokuwa na Pm Mzee Warioba kwa Tuhuma Za Rushwa Na Kweli ikavunjwa Na ndio mwanzo wa Huyu Mzee kuanza kupotea Kwenye Siasa Na kuchukia Serikal zote zilizofuata hadi Hii ya JPM japo Hii kapunguza Povu Baada ya mwanae kuula u DC
Mpotoshaji yuko kazini Ndani ya ccm wazee wenyekuheshimiwa na Watanzania sijui kama wanazidi wawili ni pamja na mzee Warioba
 
Back
Top Bottom