Amshauri mtoto wake Kipi Warioba aache kutumika kurudisha nyuma maendeleo ya Wana vunjoJerry Muro ukimpa cheo cha u house girl anakubali na atakupamba kadiri awezavyo.Mzee Warioba kawaambia hawa vijana wakumbuke kuna maisha baada ya wanayemtegemea kutoka madarakaniView attachment 1019245
Habari za weekend wakuu
Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.
Hivi jerry kweli ni waku zungumza maneno haya ni kweli tundu lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.
Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....
What goes around, always comes around.
Karma haitawaacha salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Rekebisha kwenye Silinde weka Lusinde mkuu....Silinde hachangamani kabisa na hao watu.Jerry ni mpuuzi kama makonda , silinde , msukuma na bosi wao , inshort ccm is the home to retarded brains
Sent using Jamii Forums mobile app
1990 Mzee Nyerere alimshauri Mzee Mwinyi avunje Cabinet iliyokuwa na Pm Mzee Warioba kwa Tuhuma Za Rushwa Na Kweli ikavunjwa Na ndio mwanzo wa Huyu Mzee kuanza kupotea Kwenye Siasa Na kuchukia Serikal zote zilizofuata hadi Hii ya JPM japo Hii kapunguza Povu Baada ya mwanae kuula u DC
Warioba alishindwa ubunge ndo sbb hakurudi kwenye u PM, Malecela akala shavu.1990 Mzee Nyerere alimshauri Mzee Mwinyi avunje Cabinet iliyokuwa na Pm Mzee Warioba kwa Tuhuma Za Rushwa Na Kweli ikavunjwa Na ndio mwanzo wa Huyu Mzee kuanza kupotea Kwenye Siasa Na kuchukia Serikal zote zilizofuata hadi Hii ya JPM japo Hii kapunguza Povu Baada ya mwanae kuula u DC
....pia kilichompata lissu ni KARMA pia, karma haikuachi salama. Remember that!
Pamoja na yote maneno aliyoyasema yana ukweli, siyo kwenye siasa tu hata kwa maisha ya kawaida1990 Mzee Nyerere alimshauri Mzee Mwinyi avunje Cabinet iliyokuwa na Pm Mzee Warioba kwa Tuhuma Za Rushwa Na Kweli ikavunjwa Na ndio mwanzo wa Huyu Mzee kuanza kupotea Kwenye Siasa Na kuchukia Serikal zote zilizofuata hadi Hii ya JPM japo Hii kapunguza Povu Baada ya mwanae kuula u DC
Good, tuwaache waongee! Tatizo ni kwamba wengine wanakimbilia risasi na wana back up ya polisi na TISS!Sasa inakuumia nini.. eeeeeeeeh
Si nanyi mnajua kuongea
Acha nao waongeee
hiyo dunia ni ulaya na marekani ? Mbona Asia haendi kuieleza dunia? Au Asia sio duniani?Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;
1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu
2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.
3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.
Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!
Warioba alishindwa ubunge ndo sbb hakurudi kwenye u PM, Malecela akala shavu.
1990 Mzee Nyerere alimshauri Mzee Mwinyi avunje Cabinet iliyokuwa na Pm Mzee Warioba kwa Tuhuma Za Rushwa Na Kweli ikavunjwa Na ndio mwanzo wa Huyu Mzee kuanza kupotea Kwenye Siasa Na kuchukia Serikal zote zilizofuata hadi Hii ya JPM japo Hii kapunguza Povu Baada ya mwanae kuula u DC