Jerry Muro amshukia Tundu Lissu

Jerry Muro amshukia Tundu Lissu

Hii ndiyo timu iliyotokea dsm kwenda kumpiga Risasi, walikuwa na gari mbili yaani Toyota vx na Nissan nyeupe ambapo ndani ya Vx alikuwemo Bashite, Le mutuz na watu wawili wasiojulikana na kwenye Nissan nyeupe walikumo watu watano yaani watu wawili wasiojulikana na Jerry Muro, Cyprian musiba na Heri kisanduku ambaye alibeba bunduki kubwa na ndiye alimshambulia Tundu Lisu kwa Risasi huku akisaidiwa na cyprian Musiba aliyekuwa na bunduki ndogo yaani bastora, kwa kifupi jerry muro ni mratibu na shuhuda wa shambulio la Tundu Lisu, ni mtu hatari na hapo alipo anaweweseka hana Aman moyoni kutwa anakesha na kushinda kwa waganga wa kienyeji.
 
Alikuwa anaomba kwa mwanyika


Walikuwepo wanyama kama akina chiluba, sadam Hussein, Gadafi, Abacha, Bokassa, mabutu, Iddy Amin dada aliyekuwa na msaidizi wake mwenye Roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Bashite leo wapo wapi? Hakuna ubaya usikuwa na mwisho na mwisho wa ubaya ni aibu kubwa
 
Huyo jery kama ataendeleza ukasuku wake kuna habari zake zikimwagwa uwanjani hata hiyo kazi yake ataikimbia bila kujali maslahi ayapatayo
Habari za weekend wakuu

Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.

Hivi Jerry kweli ni wakuzungumza maneno haya ni kweli Tundu Lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.

Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya Serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....

What goes around, always comes around.

Karma haitawaacha salama



Sent using Jamii Forums mobile app


In God we Trust
 
Maliyamungu Bashite na kikundi chake wanajuuta kwenda Dodoma kumshambulia hawana raha kabsa
 
Iringa wamejaribu kijana akajikuta kalala malaloni na boxer ila hakuvunjiwa yai. Nasikia siku hizi hata Msigwa anamwamkia shikamoo. Ila wajeuri kama Jerry wanafaa kuvunjiwa yai kabisa. ( ingawa naambiwa hapo itakuwa kama Mamba kumayi, maana mchezo huo sio mpya kwake)
Hawa vijana ndio dawa yao wakionyesha jeuri nikutumia uchawi tu shubamiti chakaraboti swain
 
lkn kitendo cha kutoa uhai wa MTU tena asiye na hati nitakilaani mara zote. Maisha haya tumepewa na Mungu nani anayesema yeye amekosea kumleta MTU Fulani duniani nahivyo anaamua kumwondosha. Laana isiyo kifani
 
Habari za weekend wakuu

Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.

Hivi Jerry kweli ni wakuzungumza maneno haya ni kweli Tundu Lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.

Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya Serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....

What goes around, always comes around.

Karma haitawaacha salama



Sent using Jamii Forums mobile app
What goes around, always comes around.

Karma haitawaacha salama
 
.
20200307_105604.jpg
 
Ole wa MTU awaye yote afurahiaye kumwagwa damu ya MTU asiye na hatia,au maumivu juu ya mtu asiye na hatia KWA maana atanywea kikombe kile kile atakacho kinywea asababishae Hayo. KWA maana damu,maumivu na kilio chao wao watesekao kiko mbele ya kiti cha enzi vikidai kisasi.
Hawa wengine muwasamehe tu.
Mbona cdm wanafurahia kifo cha jpm?
 
Back
Top Bottom