Jerry Muro amehasiwa kitaaluma?

Jerry Muro amehasiwa kitaaluma?

Jerry Muro ni Mhariri wa habari na kama sikosei ni mwenyekiti wa jukwaa la Wahariri.... So usitegemee kumkuta sana kwenye interactive Journalism. Pili kuna habari ziliwahi kuletwa hapa kwamba amepata kazi CNN. Ila sijui ziliishia wapi.....!View attachment 217668


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Ni kat ya waandishi hodari na bora wa habari
 
Wachangiaji msimlaumu Jerry Muro, wote hapa tunahangaikia matumbo bora mkono uende kinywani; if you can't beat them join them. Bora huko Yanga atakuwa anapiga pesa nzuri bila kuhatarisha usalama wake, labda bakora pale timu ikifanya vibaya.

Ukitaka kujua adha ya uandishi-chokonozi, Mkuu Pascal Mayalla anaweza kutupa ushuhuda kilipoishia kipindi cha KITIMOTO
 
Last edited by a moderator:
"WITO WA KUJIHATARISHA KWA MASLAHI YA UMMA WA WATANZANIA"

Labda uwe mgeni na huo umma wa watanzania, maana hauna ushirikiano bla bla nyingi vitendo sifuri. Mwisho ws siku ni wewe na familia yako ndo mtahangaika likitokea tatizo.

Umma wenye uzoefu wa kujificha uvunguni.
 
ulitaka ang'olewe kucha bila ganzi?Jamaa siku hizi ni Msemaji wa klabu ya Yanga hana hamu kabisa na hizo habari zenu za Sisa

Nimecheeeeka, eti hana hamu kabisa na habari zenu za siasa.
 
Hebu Tuache Dharau Kwani Alichokupa Wewe Yeye Kamnyima Na Kuna Tunu Pengine Muro Anayo Na Wewe Pamoja Na Utajiri Wako Huo Wa Vipesa Vya Ngama Huna! ktk Maisha Yangu HUWA NACHUKIA MNO na SANA WATU WENYE DHARAU KAMA Wewe. Na Si Ajabu Ukawa Huna CHOCHOTE Kuanzia Akili Na Mali. Nimechukizwa Na Sentensi Yako Kuwa Nimemkuta Na Ki Korona Chake..........Umeniboa Na Umenikera Mkuu Na Hongera Zako Wewe Uliyebarikiwa Kuwa Na Magari Makuu Kuu.

Kaka Paschal Mayalla Akhsante Kwa Like Yako Na Natambua Uwepo Wako Kaka Yangu. Ubarikiwe Kaka!
 
jerry muro alikata tamaa mapema mno. Wakristu husema "majaribu ndo mtaji wa imani".
Majaribu ya jerry ndo ulikuwa mtaji wake wa kusonga mbele na kuwa na jina kubwa katika nchi na nje ya nchi. Lakini yeye kaamua kupokea mtaji na kuutia kwenye kibuyu mvunguni.
Hebu aone kazi nzuri za investigative journalist mohammed ali wa ntv ya kenya. ( jicho pevu: Makri ya injili: http://youtu.be/msi5uhldoca) .
We need him to get inspired and kick off again. Aache uoga.

umenena vema.
 
Jerry Muro ni Mhariri wa habari na kama sikosei ni mwenyekiti wa jukwaa la Wahariri.... So usitegemee kumkuta sana kwenye interactive Journalism. Pili kuna habari ziliwahi kuletwa hapa kwamba amepata kazi CNN. Ila sijui ziliishia wapi.....!View attachment 217668


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Acha Uwongo Ni Kheri Kama Huna Uhakika Wa Jambo Fulani Ukae Tu Kimya.
 
Jerry Muro ni mchezaji wa club ya yanga;
Majuzi alikuwa anapigana jukwaani huko uwanjani.
 
mambo ya kung'olewa kucha na meno bila ganzi jamani myasikie hivyo hivyo tu kwa wenzenu.......chochote anachokifanya kwa sasa kila la kheri!!
 
Back
Top Bottom