12STONE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 1,190
- 409
Huyu Kijana alikuwa Jasiri sana, Kabla ya 2010. Enzi hizo anatembea na Camera za kidukuzi pamoja na pingu. Nguvu ya Dume la Ng'ombe (Bull) ziko dhahiri popote pale utaona vurugu, machachari na umahiri wa kupigana kwake Bull wakati bado Halija HASIWA.
Mara tu likigongwa zile kede zake baaasi hata mulio hubadilika na kuwa sio wa yule Dume tuliomzoea huegeuka na kuanza kutoa mulio kaa wa Ndama au Ngo'mbe Jike.Mara moja hata Jina lake hubadilika na kuanza kuitwa MAKISAI.
JERRY MURO! JERRY MURO! JERRY MURO!
Uko Wapi? Hiyo kashfa ya kupokea Rushwa ilikuwa ya kweli? Au Wanasiasa waliwahi kuku-Mute ili usiwaletee Madhara kwenye kampeni za 2010. Ulikuwa POSITIVE / CHANYA (+) ghafla umegeuzwa na umekubaliana na hio hali ya KUHASIWA kuwa NEGATIVE / HASI (-).
Hivyo vipindi vyako vya PPRA vinakufaa kwa ajili ya tumbo lako tu. Umeacha wito wako halisi ambao ni wa KUJIHATARISHA KWA MASLAHI YA UMMA WA WATANZANIA. Umeacha, ukasahau tena umeifukia chini Talanta yako. 2015 RUDI KWENYE NAFASI YAKO.
Taifa linakuhitaji.
Nawasilisha Jamii ijue..