Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini).

2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University.

3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere waandaliwe fungu la kusafiri na kamati yako.
 
Atatumia lugha ipi, Jenista amemloga Rais mpk amepitiliza, kumteua waziri wa Afya ni uonevu kwake Jenista na kwa watanzania. Hii ni wizara ya kitaalam Jenista ni mtupu jamani kwanini Rais hatuelewi? Mtu ht kusoma tu kiingereza hawezi mnamtakia mema kweli?
 
Kwa kile kiingereza alichoongea mara ya mwisho licha ya kuwa alikuwa anasoma unafikiri yeye haogopi kutia aibu tena?
 
nimelia sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20250323-150338.png
    Screenshot_20250323-150338.png
    380.1 KB · Views: 10
Back
Top Bottom