Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

Hamna lolote mnataka mama wa watu aseme Mr Chair 🪑 mumcheke 😂😂
 
Em kipe heshima Kingoni tafadhari.
😂😂haha

Mbna yule ni mtu wa songea, kugala gala ki kwetu ni kufurahia jambo, au kushukuru kwa Wema uliotendwa.

Hakukosea, sema watu hawajazoea.

🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO.

2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC na tumia network yako mliosoma nao Harvard University.

3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere waandaliwe fungu la kusafiri na kamati yako.
She will say on behalf of herself.
 
Mara nyingi wanaoshinda ile nafasi huwa ni madaktri wenye uzoefu kwenye coordination ya magonjwa/majanga ya milipuko (public health emergencies) mfano Cholera, MVD, Mpox etc

Sasa huyu wa kwenu sijui kabobea kwenye kipi? Unless wapiga kura watupe kura za huruma kwa kuwa Dr. Ndungulile alifariki kabla hata ya kushika nafasi, otherwise, hatutoboi
 
Kwa kiasi chake namfahamu, juzi juzi binti yake wa mwisho, aitwae Victoria kaolewa.

Siku ya send off nilikuwepo pale kwake Makambi, na hadi ukumbini pale Songea Girls.

Afu kaanza kampeni mapema, hataki kuachia madaraka kwa wengine.
Kumbe ni bingwa wa teknolojia ya kienyeji 😄
Basi huyu mama ni ngoma ngumu

Ova
 
Mara nyingi wanaoshinda ile nafasi huwa ni madaktri wenye uzoefu kwenye coordination ya magonjwa/majanga ya milipuko (public health emergencies) mfano Cholera, MVD, Mpox etc

Sasa huyu wa kwenu sijui kabobea kwenye kipi? Unless wapiga kura watupe kura za huruma kwa kuwa Dr. Ndungulile alifariki kabla hata ya kushika nafasi, otherwise, hatutoboi
Profesa ni mtaalamu wa magonjwa ya Moyo na Chakula
 
1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini).

2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University.

3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere waandaliwe fungu la kusafiri na kamati yako.
Hawana uwezo,wote wanasumbuliwa na Poor linguistic skills, linguistic barriers 🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂🤣
 
Angalia watanzania wanavyo chukia wenzao hapa. Wana hiari mwingine apate lakini si ndugu yao japo sifa za prof Janabi zinajulikana sana ndani na nje ya nchi.
Umoja undungu upendo ni kinga yetu
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Yule hawezi kua bibi kwangu, ni mdogo sana kwa mama angu.

Ni mbunge wangu, yaan yule bila ulozi hatoboi, mganga wake ni kiboko toka msumbiji 1.

Diploma yake uchwara, uchawi hauvuki bahari, ila wa huyu mama umevuka na kuukwaa uwaziri wa Afya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila English yake, mie hoi, hivi hata huko Songea girls alifundisha nn? Sielewi hata
Maajabu hayaishi chini ya jua. Lol
Ana mganga konki
Hata ongea yake inaonekana ni bogus
 
Back
Top Bottom