Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

Huyo wa kunadiwa ndio huyu anayesema tukitembea Kwa miguu tutapungukiwa nguvu za kiume au mwingine
 
1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO.

2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC na tumia network yako mliosoma nao Harvard University.

3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere waandaliwe fungu la kusafiri na kamati yako.
😄

Ova
 
Yule hawezi kua bibi kwangu, ni mdogo sana kwa mama angu.

Ni mbunge wangu, yaan yule bila ulozi hatoboi, mganga wake ni kiboko toka msumbiji 1.

Diploma yake uchwara, uchawi hauvuki bahari, ila wa huyu mama umevuka na kuukwaa uwaziri wa Afya.
😂😂😂😂😂

Ila English yake, mie hoi, hivi hata huko Songea girls alifundisha nn? Sielewi hata
Maajabu hayaishi chini ya jua. Lol
Kumbe bila ndumba hatoboi 😹😹
Songea girls alikua ticha wa kiswahili 🤣
 
Atamnadi kwa rugha ipi ? Kiingereza chenyewe Brocken tupu.....akyanani wallah 😁😁😁😁😁
 
Kheee yule mama kwa ndumba analala na kuamkia hapo.
Kwa kweli ni Kiswahili, tena njuka na 4m 2.
😂😂😂😂😂

Ule mgalo galo itakuwa kajifunzia huko eeh? 😁
 
Kabla Jenister Mhagama kwenda Popote kumnadi professor Janabi, itabidi Jenister amuone kwanza Ras Simba ili akibrush kile kiingereza chake.
Hivi kile anachoongeaga Jenister ni Kiingereza au Kingoni?
Em kipe heshima Kingoni tafadhari.
😂😂haha
Ule mgalo galo itakuwa kajifunzia huko eeh? 😁
Mbna yule ni mtu wa songea, kugala gala ki kwetu ni kufurahia jambo, au kushukuru kwa Wema uliotendwa.

Hakukosea, sema watu hawajazoea.
 
Em kipe heshima Kingoni tafadhari.
😂😂haha

Mbna yule ni mtu wa songea, kugala gala ki kwetu ni kufurahia jambo, au kushukuru kwa Wema uliotendwa.

Hakukosea, sema watu hawajazoea.
Peramiho City
 
Kwa kiasi chake namfahamu, juzi juzi binti yake wa mwisho, aitwae Victoria kaolewa.

Siku ya send off nilikuwepo pale kwake Makambi, na hadi ukumbini pale Songea Girls.

Afu kaanza kampeni mapema, hataki kuachia madaraka kwa wengine.
Kumbe binti kakua, nakumbuka nimewaona wakiwa shule ya msingi Uwata, hapo kwao nimefika sana wakati mzee wao yupo nje kulikuwa na Mitsubishi Pajero 1st Generation
 
Back
Top Bottom