Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

Ila ni Waziri mzuri n presentable, natamani siku moja nionane nae anieleze SIRI ya kuwa mbunge wa jimbo kwa muda mrefu hivi tena kwenye jamii yetu hii iliyotawaliwa na MFUMO DUME..Go Go Jenister
 
1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini).

2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University.

3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere waandaliwe fungu la kusafiri na kamati yako.
Mnamuonea bure mama wa watu.
 
Back
Top Bottom