Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini).

2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University.

3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere waandaliwe fungu la kusafiri na kamati yako.
Huu utani kabisa yaan ORIGINAL COMEDY.

WAPEWE CAMPAIGNING TEAM.
 
Ulozi ndo unao muweka mjengoni hadi leo, ubabe wa kuonea wapinzani wake, alikoma kwa Joseph, Ali mnyoosha haswa hadi kufikia kugawa jimbo.

Ila hapo Pa Bogus nimecheka mnoo, 😂😂😂😂
Kama uchawi unafanya kazi "" TUMKABIDHI WIZARA YA FEDHA"""
 
Ila wewe unaoenekana mtu mmoja poa sana ila ukivurugwaa vumbi litatimkaa 🤣🤣

Sankyu (Jenii)
Umenikumbusha mbali ujue, akati ndo naingia campus hapo ni mgeni na ushamba wangu wa mdwema,

Basi kunae mate alinigeuza mdoli wake, hajui mie ni kivuruge zaidi yake, ila nlikua nasoma mazingira, hiyo siku nili mfaragua mbna alijuta kunifaham.

😂😂😂😂😂
 
Kumbe ni bingwa wa teknolojia ya kienyeji 😄
Basi huyu mama ni ngoma ngumu

Ova
Huyo hawezi kutolewa kwenye cabinet, labda asiwepo mjengoni, atakua ana badilishwa kila siku.

Mganga wake sio tapeli, kanyooka haswaa.
 
Huyo hawezi kutolewa kwenye cabinet, labda asiwepo mjengoni, atakua ana badilishwa kila siku.

Mganga wake sio tapeli, kanyooka haswaa.
Na Mimi ngoja nitafute MGANGA 🤣🤣🤣

Ivi MZINDAKAYA yupo huyu mzee wetu.
 
Humuonagi bungeni akiwa anachangia hoja, aibu tunaona sisi wasikilizaji, anapitwa hadi na mbunge viti maalumu, Msongozi.

😂😂😂😂😂
Hatare Sanaa smart upstair people wapo benchi..

Kazi kweli kweli..
 
Mwisho mzuri upoo, ni wee tyuh na mipango yako.
😂😂😂😂😂
Mifano ipo mingi kwenye mapenzi ukimroga / limbwata/ shuntama sijui Nini Nini...

Dawa zikiishiwa nguvu / dawa ziki poteza nguvu mwisho wa siku mambo huaribika na kuishia kubaya sanaa
 
Aaah wapii hakuna kitu km hicho.
Ni mipango tyuuh, 😂😂😂😂😂
Unatembea na hirizi masharti mengi Sanaa.

Na ukijisahau masharti imekula Kwako 😊
Kuna jamaa yeye haruhusiwi kunawa mikono kwa maji ya moto siku hiyo katembea kwetu kwenye kunawishwa maji ya uvuguvugu aliruka huyoo akasema kwake ni mwiko 🏃🏃🏃
 
😂😂😂😂
Nyie wakorofii sanaa, woiiiih
 
Ulozi ndo unao muweka mjengoni hadi leo, ubabe wa kuonea wapinzani wake, alikoma kwa Joseph, Ali mnyoosha haswa hadi kufikia kugawa jimbo.

Ila hapo Pa Bogus nimecheka mnoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah anaonekana kabisa
 
Back
Top Bottom