official scandal
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 389
- 816
Wadau,
Huu ni uthibitisho mwingine wa utendaji mbovu wa Mkurugenzi wa RITA . Licha ya gharama kubwa ya shiling za kitanzania Bilioni 56 iliyotumika kujenga jengo hili lililoko mtaa wa Simu karibu kabisa na Bilicanas.
1. Mifumo ya kugundua na kuzimia moto yaan Fire detection system haifanyi kazi. jengo hili lenye floor 26 si salama kwa kuwa kama moto utatokea basi itakulazimu kuomba kudra za Mungu
2. Lift zinafanya kazi kwa kubahatisha, lift zipo nne lakini ni moja tu inafanya kazi tena kwa kubahatisha. Lift imekufa sensor inaweza ikakupeleka ghorofa ambayo huendi.Lift haina ventilation. Mara kadhaa inawabana watu kwenye mlango wa lift.
Kwa kustaajabisha zaidi kuna Wachina wamepangishwa ground floor kama makazi, jengo la serikali linapangishwa watu wanaishi.
Tulipomtafuta Estate manager alisema haelewi kinachoendelea kwa kuwa yeye ni mgeni.
Magufuli mulika Rita, hili nalo ni jipu.........
Ukweli daima