Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,389
Duh chadema haiwezi kuingia ikulu,amini nawaambia
.Je tuseme rangi za chama pendwa zimesha tangulia ikulu?
Nadhani hii itakua nzuri sana chadema ikiingia ikulu siku moja.
Rangi nyekundu,blue, na nyeupe zina wakilisha vizuri sana bendera ya chadema.
Je aliye design amefikiria nini hasa?
Najua baada ya kusoma uzi huu itatolewa amri ya kuweka paa la ikulu liwe kijani na kuta ziwe njano maana najua hawapendi mizaha.
View attachment 1468014
Katika taifa linaloishi kwa misaada na mikopoHizo zote ni ikulu????
Bora atawale Hadi kufa maana kule upinzani sioni wa kutuongoza😏😏Jamaa kama vile anajiandaa kutawala Tz mpaka kufa. For his security, Yani hapa atakuwa na vyumba kama 50. Rais atalala chumba chochote kati ya ivyo 50 kutokana na atakavyotaka. Leo chumba no 1 kesho no 50 keshokutwa no 30.
😲😳😲😲,Chadema ni mashoga.Baadhi ya mambo yake ni mazuri kuyaiga but "USHOGA" tunawaachia CHADEMA
Watu kama ninyi ndo wakupoteza kabisaa🤨🤨🤨Yes ili kukumbukwa kwenye majengo na sio kwenye kuboresha maisha ya watu
Ulaji wa pesa za Chadema na ukiziulizia rangi hiyo inakuhusuHiyo nyekundu inawakilisha nini..
We nawe wale wale tu unatetea ushoga!.Sidhani kama unajua ushoga nini?
Ingekuwa inasaidia wwe kuishi milele Ingekuwa na maana hata nyie kula kulala mngeishi mileleWatu kama ninyi ndo wakupoteza kabisaa🤨🤨🤨
Kumbe kubwa?Je tuseme rangi za chama pendwa zimesha tangulia ikulu?
Nadhani hii itakua nzuri sana chadema ikiingia ikulu siku moja.
Rangi nyekundu,blue, na nyeupe zina wakilisha vizuri sana bendera ya chadema.
Je aliye design amefikiria nini hasa?
Najua baada ya kusoma uzi huu itatolewa amri ya kuweka paa la ikulu liwe kijani na kuta ziwe njano maana najua hawapendi mizaha.
View attachment 1468014
Ofisi ya makamu wa rais na waziri mkuu zote huwa ikulu.Ikiwa picha hii ni ya itakayokuwa ikulu, kutakuwa na upotezaji mkubwa wa fedha kuanzia kujenga mpaka maintenance. Unless imekusudiwa kuwa iwe ni ofisi za wizara zote na taasisi nyeti za serikali au hata kambi ya jeshi kabisa.
Matumizi mabaya ya fedha.
Ikiwa picha hii ni ya itakayokuwa ikulu, kutakuwa na upotezaji mkubwa wa fedha kuanzia kujenga mpaka maintenance. Unless imekusudiwa kuwa iwe ni ofisi za wizara zote na taasisi nyeti za serikali au hata kambi ya jeshi kabisa.
Matumizi mabaya ya fedha.
Utadhani hosteli za MagufuliJe tuseme rangi za chama pendwa zimesha tangulia ikulu?