Jengo la Ikulu ya Dodoma Lina Rangi za Chadema

Jamaa kama vile anajiandaa kutawala Tz mpaka kufa. For his security, Yani hapa atakuwa na vyumba kama 50. Rais atalala chumba chochote kati ya ivyo 50 kutokana na atakavyotaka. Leo chumba no 1 kesho no 50 keshokutwa no 30.
Asante mkuu kama nakuona kwenye kichwa changu
 
Ikul
Ikiwa picha hii ni ya itakayokuwa ikulu, kutakuwa na upotezaji mkubwa wa fedha kuanzia kujenga mpaka maintenance. Unless imekusudiwa kuwa iwe ni ofisi za wizara zote na taasisi nyeti za serikali au hata kambi ya jeshi kabisa.

Matumizi mabaya ya fedha.
Ikulu ina vitu vingi Sana lazima majengo yawe mengi mpaka sehemu ya kutunzia silaha ipo mpaka kikosi Cha ulinzi wa rais ambapo ni Kama kambi ndogo ipo achilia mbali mamia ya ofisi na NYUMBA za maofisa pale Kremlin ni mji kabisa.
 
Je tuseme rangi za chama pendwa zimesha tangulia ikulu?

Nadhani hii itakua nzuri sana chadema ikiingia ikulu siku moja.

Rangi nyekundu,blue, na nyeupe zina wakilisha vizuri sana bendera ya chadema.

Je aliye design amefikiria nini hasa?

Najua baada ya kusoma uzi huu itatolewa amri ya kuweka paa la ikulu liwe kijani na kuta ziwe njano maana najua hawapendi mizaha.
View attachment 1468014
Huo Mjumba Wote kweli Jamaa ana nia ya Kuondoka kweli? Naona kuna dalili za kutaka kufia IKULU.
 
Je tuseme rangi za chama pendwa zimesha tangulia ikulu?

Nadhani hii itakua nzuri sana chadema ikiingia ikulu siku moja.

Rangi nyekundu,blue, na nyeupe zina wakilisha vizuri sana bendera ya chadema.

Je aliye design amefikiria nini hasa?

Najua baada ya kusoma uzi huu itatolewa amri ya kuweka paa la ikulu liwe kijani na kuta ziwe njano maana najua hawapendi mizaha.
View attachment 1468014
Mbona majengo mengi kama chuo kikuu cha udom ,
 
Jamaa kama vile anajiandaa kutawala Tz mpaka kufa. For his security, Yani hapa atakuwa na vyumba kama 50. Rais atalala chumba chochote kati ya ivyo 50 kutokana na atakavyotaka. Leo chumba no 1 kesho no 50 keshokutwa no 30.
 
Mtu mwenye nia ya kuondoka hawezi waza kujenga makazi mengine Hali ni mpitaji angewaza vipaumbele vya wananchi.
Huyu lxm atang'ang'ia
 
Amesha peleka mswada bungeni wa kuzuia kushtakiwa akivunja katiba.
Mtu mwenye nia ya kuondoka hawezi waza kujenga makazi mengine Hali ni mpitaji angewaza vipaumbele vya wananchi.
Huyu lxm atang'ang'ia
 
Amesha peleka mswada bungeni wa kuzuia kushtakiwa akivunja katiba.
Ni makaratasi hayo hayana Kinga kwa ajae akiamua kila sheria inaupenyo wake wa kiukiuka.
Katiba hii hii waliyoitumia kuumizia wenzao nao wajiandae kuumizwa nayo salama yao pekee ni kung'ang'ia madaraka.
Kama wamewezakiuka katiba zilizowekwa na wengine,kipi kikwazo cha wajao kuikiuka ya kwao?
Yetu macho
 
Back
Top Bottom