Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Hayo yako Tena,siko kwenye mlengo wa dini Mimi...nataka ijengwe Kama Ngome ya mtemi Mkwawa,Mangi Sina,mtemi Mirambo,mtemi Kibasila na mtemi Tambaza
Wapo watu wangesema , ina Muundo wa Kikabila. Imekaa kaa kikabilakabila sana. Wangeiponda kama unavyoiponda hii ya sasa
 
" Ikulu ya Chamwino , ina sura na mfano wa umbo la Tanzanite " Mrisho Mpoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…