View attachment 48144
hili ndilo jeneza ambalo malkia wa sauti Whitney Houston alizikwa nalo
angezikwa tz watu wangefukua kaburi!
View attachment 48144
hili ndilo jeneza ambalo malkia wa sauti Whitney Houston alizikwa nalo
Hilo ni kaburi au mgodi wa dhahabu! nalifananisha na MEREMETA GOLD!
Sasa ukisikia kumkufuru Mungu ndio huku. Badala ya kuwapa pesa hizo masikini na wahitaji wanatumia kumnunulia vito vya thamani mtu aliyekufa. Mbona alipokuwa hai hamkumnunulia? Mlikuwa wapi siku zote hizo?
...Bure tu bado nyama ya udongo vile vile!!!Nakubaliana nawe haya ni makufuru kwa kweli. Kweli mwenye shibe hamjuwi mwenye njaa. Lol!
Hapo ndo huwa tunajiuliza! Jitihaza zote za kujilimbikizia mali,hasa wale mafisadi, waizi na wauaji hatima yake huwa ni nini? Maana hata kama ungekufa ukiwa na mali nyingi hutaingia nazo kaburini. Hata kama tukipamba majeneza na makaburi, thamani yake huwa haipo kwetu tuliokufa badi inabakia gumzo tuuu! Laiti Mungu tungekuwa tunampelekea mali, labda tuungesema twende na kidogo tumpelekee! Mungu hapokei hivyo. Sasa linalobakia ni...hebu tumche Mungu tuishi kwa hofu ya Mungu na tusidhurumu wala kukanyaga haki za wengine hata kama ni wadogo.