Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,089
- 6,270
Kuna msanii yeyote wa slow pop anayemzidi Whitney Houston?
Je ni nani?
Je ni nani?
Bi kidude 😅😁.Je ni nani?
Naomba mwenye wimbo wa Whitney unaitwa I didn't know my own strength
Unasemaje?Dulla makabila unamchukuliaje?
🤣Ila yule dogo nae alinyang'anywa mke na Manara huku anashuhudia🤭
Ila na sisi wanawake bhana,hivi kapo kwa Manara pale kameshachoka kitamboo...kutoka tena kwenye ndoa ndio muziki....Halafu ana bahati mbaya kweli huyu manzi...anakutana na wanaume wote Wana mdomoo.
SIJUI NIMEKUJIBU MKUU!?
Asante mkuu![]()
Whitney houston - i didn't know my own strength | Naija Songs // Naijapals
i didn't know my own strength - Whitney houston - ...www.naijapals.com