Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,391
- 1,907
He is both a lawyer and journalist.He is a lawyer
He is both a lawyer and journalist.He is a lawyer
Kwani kachagua moja mbona hajasema Msekwa alilosema kuwa waihusishe mahakama. Huyu ni mwanasiasa pia anachagua kipi cha kita sound vizuri kwa uoande alioegemea.Nimependa hapo mwishoni; kwamba Pius pamoja na kuwa na shahada ya sheria hajui lolote kwamba ni haki ya mtu kutozungumza lolote.
Big up Ulimwengu.
I insist.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ungeandika tu kiswahili mkuu
Kama huyu mnaija. Upuuzi mtupu....Mtu kusoma article uelewe eti mpaka uwe na dictionary!
What is "freedom of press"?Aim not talking about Musiba versus Government here.Whether the Government should take measures against him or not is non of my business. My concern here, is how his fellow journalist are acting against him. I thought what the Man is doing is what they have been fighting for, " FREEDOM OF PRESS"
Hii na yenyewe ilikuwa ni namba hatari.Hahahahahah juggling with words...there are many...remember Wilson Kaigarula??!!..They dare not come out...
I could be wrong lakini sikumbuki kama kuna mwandishi yeyote hapa nchini ambaye ameweza ku-master kuandika Kiingereza kama huyu jamaa. his juggling with grammar & vocabulary is second to none, IMHO..
hats off to Jenerali!
Basically he is lawyer who likes journalismHe is both a lawyer and journalist.
If Tanzanians were smart enough , they wouldnt agree to be under CCM rule up to this point. What CCM has done so far to this poor country was enough to remove them from power but thanks to our education system for keeping on producing foolish people of all walks of life who cant say a word on whatever wreakless CCM does.
Ccm is a trash.
Unajua maana ya kutetea? Hebu nionyeshe huo utetezi uko wapi hapo.
Finding a justification to discredit him, Musiba. But we all know Musiba is a journalist just like him, Generali.he said "pseudojournalist" may be if he was a journalist he would have stood by him😁
Kiingereza chake ni cha kizamani!
Ngeli ya kufa mtu, dah! Kama kuna watu wanaimudu vyema hii lugha, basi ni huyu mshua!
probably!
HAHA UMENIKUMBUSHA PROFESSOR PLO LUMUMBA. MBWEMBWE NYINGI MPAKA MAHAKAMANI.Tuache kuwa washamba hii ngeli ya Jenerali Ulimwengu haina tija! Imejaa vocabularies na jargons ambazo ukimpelekea Balozi wa Uingereza hapa Tanzania atakwambia hii English haina ladha! Jenerali ni fluent but kwangu siyo eloquent!
Fuatilia speech za watu kama Barrack Obama uone simple English but nzuri yenye ladha na si haya ma vocabulary ya Jenerali Ulimwengu!
Mtu kusoma article uelewe eti mpaka uwe na dictionary!
Hakuna,Mbona Mzee wa Phd.yupo vizuri tuI could be wrong lakini sikumbuki kama kuna mwandishi yeyote hapa nchini ambaye ameweza ku-master kuandika Kiingereza kama huyu jamaa. his juggling with grammar & vocabulary is second to none, IMHO..
hats off to Jenerali!