Jenerali Ulimwengu challenges Makamba & Kinana... "Defend your innocence or be declared guilty"

Jenerali Ulimwengu challenges Makamba & Kinana... "Defend your innocence or be declared guilty"

The same same Generali Ulimwengu who has been long manifesting himself as democratic, rule of law and freedom of press champion. Now, is here calling Mr.Musiba with various unpreasant names and lamenting on why Dr. Abbas has not Burned or even warned this man.
I thought this
Old man would have come to the defence of Mr.Musiba as his fellow pressman.

The only lesson
to be learn from this old man is, even these, the so called pressman who have been shouting, " freedom of press should be granted" they are very optimistic on what the phrase entails. Freedom of press is not only for those against the government. Musiba is exercising one and he had a to choose what to say and against or in favour of his choice.

Actually, it is
disguising to here bitter attacks from a vert jounalist who is also a Lawyer against his counterfellow Journalist who is just enjoying his freedom of press. After all is this what journalist have been fighting for!?" A FREEDOM OF PRESS" or my God! Are they telling us Fredom of Press should be subject to limitation? "It hard to understand them"


I can tell it was hard for you sir/madam, to understand Jenerali Ulimwengu. The way you write and present your ideas has a huge implication on the wellness of your upstairs.



 
Jenerali ni kibaraka tu, hapo kaandikia mabwana zake wakizungu wajue kinachoendelea nchini. Watajijuuu.
 
Jenerali ni kibaraka tu, hapo kaandikia mabwana zake wakizungu wajue kinachoendelea nchini. Watajijuuu.
2015 kwny kampeni wkt gazeti lake Generali la Raia mwema likim-support Magufuli dhidi ya Lowassa hapo mabwana zake walikua wakina nani?
 
Kwani kuwa mwana CCM ni Kosa au Uhaini au Dhambi au Laana ndani ya Ardhi hii ya Tanzania? Hivi tatizo ni CCM kama Chama au ni baadhi ya Makada / Watendaji wake?
tatizo ni ccm ndio!! kwani unaposema tatizo si ccm isipokuwa ni baadhi ya makada, hao makada ndio sehemu ya ccm tena ukizingatia makada wenyewew ni waandamizi. au ccm unayoizungumzia ni ya majengo na si watu mkuu....

nawasilisha kwa kiswahili...
 
Nimependa hapo mwishoni; kwamba Pius pamoja na kuwa na shahada ya sheria hajui lolote kwamba ni haki ya mtu kutozungumza lolote.
Big up Ulimwengu.
Swala sio kwamba hajui, swala ni vingunge wengi wasataafu ndoana zimebana kooni. Mwenye uwezo wa kutumbua ndo anaweza kuinasua au kuiacha ufe nayo.
 
Ndugu yangu, ungefanya editing kabla ya kurusha ingenoga zaidi.
Kwa uchache: Unpreasent - nadhani 'l' ilifaa badala ya 'r', disguising - ulitaka kuand kuandika 'disgusting'.
The same same Generali Ulimwengu who has been long manifesting himself as democratic, rule of law and freedom of press champion. Now, is here calling Mr.Musiba with various unpreasant names and lamenting on why Dr. Abbas has not Burned or even warned this man.
I thought this Old man would have come to the defence of Mr.Musiba as his fellow pressman.

The only lesson to be learn from this old man is, even these, the so called pressman who have been shouting, " freedom of press should be granted" they are very optimistic on what the phrase entails. Freedom of press is not only for those against the government. Musiba is exercising one and he had a to choose what to say and against or in favour of his choice.

Actually, it is disguising to here bitter attacks from a vert jounalist who is also a Lawyer against his counterfellow Journalist who is just enjoying his freedom of press. After all is this what journalist have been fighting for!?" A FREEDOM OF PRESS" or my God! Are they telling us Fredom of Press should be subject to limitation? "It hard to understand them"
 
Moja ya story zinazobamba mtaani ni kuifanya Kilimanjaro kuwa Nchi kabisa jambo la kujiuliza kwa muda wote huo ambao story hii imekuwa ikibamba kwenye vijiwe vya kahawa na ukichukulia nchi ya Tanzania ni kubwa kuliko BURUNDI, na RWANDA ni Mkoa GANI AMBAO HAUHITAJI KUWA NCHI?

TANGA?

MBEYA?

RUVUMA?

NJOMBE?

N.K

AU TUTUMIE REGRESSION ANALYSIS

KUGAWA MIPAKA == a + b (mbunu za kupatia uongozi) + c(NI MKOA GANI HAUTAKI KUWA NCHI) + d (KWANINI USIWE NCHI) + e(TUPELEKE WAPI MAOMBI) + ERROT (hela) TERM (awamu ya urais/hela za msimu)

KAMA KAWAIDA UKIWEKA MKOA WAKO (WEKA 1 WENGINE ZIRO (0)) MFANO IKIWA NACHIGWEA WEKA (1) ILI kwenye b upate NAMBA…

BAADA YA HAPO INAKUWA time SERIES (MWAKA 1, 2, 3, 5, n.k)
 
Yaani "ku-master" kuandika Kiingereza ndio nini? Ujinga mtupu.
Moja ya story zinazobamba mtaani ni kuifanya Kilimanjaro kuwa Nchi kabisa jambo la kujiuliza kwa muda wote huo ambao story hii imekuwa ikibamba kwenye vijiwe vya kahawa na ukichukulia nchi ya Tanzania ni kubwa kuliko BURUNDI, na RWANDA ni Mkoa GANI AMBAO HAUHITAJI KUWA NCHI?

TANGA?

MBEYA?

RUVUMA?

NJOMBE?

N.K

AU TUTUMIE REGRESSION ANALYSIS

KUGAWA MIPAKA == a + b (mbunu za kupatia uongozi) + c(NI MKOA GANI HAUTAKI KUWA NCHI) + d (KWANINI USIWE NCHI) + e(TUPELEKE WAPI MAOMBI) + ERROT (hela) TERM (awamu ya urais/hela za msimu)

KAMA KAWAIDA UKIWEKA MKOA WAKO (WEKA 1 WENGINE ZIRO (0)) MFANO IKIWA NACHIGWEA WEKA (1) ILI kwenye b upate NAMBA…

BAADA YA HAPO INAKUWA time SERIES (MWAKA 1, 2, 3, 5, n.k)
 
Cha muhimu ni Kujadili Hoja yake aliyoiandika au ni Kusifia Kiingereza chake? Hivi kuna Mtanzania Msomi asiyejua kuwa Mzee Jenerali Ulimwengu ni miongoni mwa Watanzania wanaozungumza na kuandika vizuri kabisa Lugha ya Kiingereza hadi leo tuanze Kushangaa au Kumshangaa hivi? Halafu ni nani amekuambia kuwa kuna Uhusiano wa moja kwa moja katika Uwezo wa Akili wa Mtu na Kujua Kwake Lugha ya Kiingereza? Hivi unaamini kuwa wapo Watu ( Watanzania ) wengi tu ambao hawaijui vyema au hata hawakijui hicho Kiingereza chako lakini Upstairs wako vizuri kuliko hata hawa akina Mzee Ulimwengu?

Namkubali mno Mzee Ulimwengu hasa Kitasnia, Kitaaluma, Kisiasa na Kiuwezo wa Akili ila sidhani kama kwa hiki alichokiandika tulihitaji sana asifiwe Kiingereza alichokitumia huku Waandishi wa Habari wengine Wakidhalilishwa badala yake tulihitaji na Wewe sasa uje na Mchango wako very Constructive juu ya Hoja yake husika kati ya Sakata zima la hawa Makada Waandamizi wa CCM ili angalau basi Mawazo yenu yaweze kuwa Chachu katika kuleta Suluhu na Tanzania kupitia CCM isonge mbele na haya Malumbano yamalizike kwa Afya ya Chama, Demokrasia na Ustawi mzima wa Taifa ambalo kwa muda mrefu sasa limeongozwa na Chama cha Mapinduzi.

Yangu ni hayo tu.
ukisikia "nakufaaa" gizani ujue jiwe limepiga mtu utosini!
 
ukisikia "nakufaaa" gizani ujue jiwe limepiga mtu utosini!

Na Mimi naamini kabisa kuwa Sindano yangu imepitisha Dozi yake stahili Kwako na huenda sasa ukapona haraka na kuwa na Akili sawasawa ambazo actually kwa sasa huna.
 
It is interesting that the information police in that directorate have kept their tail firmly between their legs as far as this man’s transgressions are concerned.
 
Do we have Miranda Rights in Tanzania?

Miranda rights ni sheria ya kimarekani iliyotungwa mwaka 1966 ili kuhakikishia kuwa Fifth and Sixth Amendment rights zilizoko kwenye katiba ya Marekani hazikiukwi na polisi. Polisi akimkamata mtuhumiwa lazima amwamabie kuwa " Una haki ya kukaa kimya. Chochote unachosema kinaweza kutumika dhidi yako mahakamani. Una haki ya kuzungumza na wakili kwa ushauri kabla ya kujibu au kuuliza maswali yoyote. Una haki ya kuwa na wakili pamoja nawe wakati wa kuhojiwa. Ikiwa huwezi kumudu mwanasheria, ateteuliwa kwako kabla ya kuhojiwa ikiwa unataka. Ikiwa unaamua kujibu maswali sasa bila mwanasheria aliyepo, una haki ya kuacha kujibu wakati wowote. " Sasa Mzee Ulimwengu kuzizungumzia katika mazingiira ya Tanzania ambako Katiba yetu haina hizo hatuna hizo Fifth and Sixth Amendment rights siyo sahihi. Kuna haja ya kuwa makini tusiwe tunaandika vitu general sana ambavyo havina uhusiano na mazingira yetu; hiyo sentensi ya pili kutoka mwisho angetumia maneno tofauti na alivyoandika; ameitumia katika katika mazingira yasiyohusika kabisa.
 
Namfahamu Ulimwengu tokea enzi za ukuu wa wilaya, baada ya kutoka Algiers alipokuwa anawakilisha Tanzania katika harakati ambazo zizielewi vizuri, lakini alikuwa karibu sana na Nyerere. Nasikia kuna wakati alikuwa mkalimani wa Nyerere katika lugha ya kifaransa. Namfahamu tokea enzi alipokuwa mmoja wa wabunge wa G55, namfahamu pia alivyompigia kampeni Mkapa alipokuwa anapambana na Agustino Lyatonga Mrema katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995. Nakumbuka siku Mkapa anatangaza kugombea urais, Ulimwengu alikuwa pembeni, na kulikuwa na mtu wa tatu ambaye simkumbuki.

Nakumbuka wakati ule nilikuwa nafikiri kwamba watu aina ya Jenerali walitakiwa kuwa pembeni, wasiwe na upande wowote, wawachambue wagombea wote kwa faida ya watanzania. lakini nadhani dua yangu ilisikika. Ulimwengu alitofautiana na Mkapa na akatangazwa kuwa SIYO RAIA. na zilikuwa ni mbinu tu za kimafia. Ulimwengu alikuwa anajenga hoja kali dhidi ya serikali katika gazeti lake la RAI - NGUVU YA HOJA. Enzi hizo katika ukurasa wake maarufu RAI YA JENERALI. Alitumia Rai ya Jenerali kumjenga Mkapa wakati wa Kampeni, na akaendelea kuitumia dhidi ya Mkapa alipoona anakwenda mrama. lakini kunyimwa uraia kulimuumiza sana maskini Jenerali. Maumivu mengi yalimsibu, lakini taratibu ali-regain.

Sijui ilikuwaje akamuuzia Rostam Aziz magazeti yake ya HABARI CORPORATION: RAI, MTANZANIA, nk. lakini baadaye kikundi chao kiliibuka na gazeti la Raia Mwema. kikundi hicho kikiwa na akina Johnson Mbwambo na John Bwire pamoja na Ulimwengu mwenyewe, na wengine.

Namkumbuka Jenereali enzi hizo akijionesha alivyokuwa msomaji mzuri wa NOVELS mbalimbali. nadhani ni kwa njia hiyo alijenga kiingereza chake.

Jenerali ni mmoja wa watu wenye akili, na uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Ni hazina ya Taifa. Kwa watu ambao siyo OBJECTIVE, watamchukia. Lakini kwa anayejali maslahi ya Taifa, hatasita kumpenda huyu jamaa.

Naona hii imenukuliwa kutoka gazeti la THE EAST AFRICAN la juma hili, ambapo Jenereali huandika huko makala zake. anaitendea haki column yake akiwakilisha maoni kutoka Tanzania, pamoja na kina Onyango Obbo wa Uganda na yule mwengine wa Kenya. Hongera Jenerali
 
Back
Top Bottom