Jenerali Banza Stone

Jenerali Banza Stone

//// Bado muda wa kuwapa ushauri nasaha upo ...........
 
Banza is a living legend

mjinga hupenda majivunoo o o
hupenda majisifu huu
asichokijua kujifanya anajua
mazuri ya kwaakeee mabaya ya wenzake enhee
anaweza akatelekeza miiko na maadili ya jamii
hiii yooteee

majungu si mtaji useme ukatajirike
majungu si biashara sema uuze ufanikiwe
ukiwa unaona elimu ni ghali basi jaribu ujingaaa



nyimbo pekee ya dansi inayoexist kwenye simu yangu
 
mjinga hupenda majivunoo o o
asichokijua kujifanya anajua
mazuri ya kwaakeee mabaya ya wenzake enhee
anaweza akatelekeza miiko na maadili ya jamii
hiii yooteee

majungu si mtaji useme ukatajirike
majungu si biashara sema uuze ufanikiwe
ukiwa unaona elimu ni ghali basi jaribu ujingaaa



nyimbo pekee ya dansi inayoexist kwenye simu yangu

daah hapo katika ubora wake...Elimu ya mjinga
 
Dah,kipaji cha ukweli kinaangamia kwa kukosa maarifa ya kujua madhara ya unga,inasikitisha sana
 
Kuna siku alikuja kuniomba elfu 2 pale Mango Garden Malaika Band walikuwa wanatoa buradani huku akijitambulisha kuwa "unajua mie ndio Msafiri Diof, sasa nipo hapa kuna jamaa yangu namsubiri lakini kwasasa hapa sina kitu naomba buku 2 tu angalau ninunue bia huku nikimsubiria jamaa" nilisikitika sana.


Mtu akikuomba kitu, mpe. Kama huna, sema huna. Siyo kumtangaza.
 
hii nyimbo ni wimbo unaoishi
utaishi umri mrefu kuliko atakaouishi yeye
sauti ya kipekee
analalamika
anapanda na kushuka

nawachukia wote wanaoingiza dawa za kulevya

wanaoingiza unga mungu awalaani. wanapoteza nguvu kazi ya taifa kama Banza
 
Back
Top Bottom