Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
- Thread starter
- #61
Wabongo kwa majungu tu,nambari wani.
Ingekuwa kuna rekodi ya umbea duniani,Tanzania ingekuwa ya kwanza.
Ndio maana mwaka mmoja hivi rekodi ya upelelezi dunia nzima Tanzania ilikuwa ya pili,we' unadhani kwanini?,upelelezi ni umbea.
ulichoandika nhakihusiani na picha