Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,243
- 8,097
Kiuhalisia ninamashaka na Huyu Asha Baraka inawezekana kabisa ni mdau wa hii biashara ya Sembe kwa nini wanamziki wa bendi yake tu wengi wao wamekumbwa na matumizi makubwa ya unga? AISHA MADINDA(R.I.P), MSAFIRI DIOF na BANZA STONE.
Kaka tuna mawazo sawa ila mimi naona kama Asha Baraka nae kama anabwia poda maana haeleweki hata lisura lake yupo kama teja tu..anawatumia wanamuziki wake kama punda