Team pinzani wamesema hizo tikiti ni za bure mashabiki walinunuliwa. Hata ile party walisema pia walivaiwa tikiti za bure.
Nimewakilisha tu. Ila mie naupenda mziki wa domo. Whatever he does in his private time i dont freaking care
Mchagueni awe rais wa JMT, ahahahahahaha!
Team pinzani wamesema hizo tikiti ni za bure mashabiki walinunuliwa. Hata ile party walisema pia walivaiwa tikiti za bure.
Nimewakilisha tu. Ila mie naupenda mziki wa domo. Whatever he does in his private time i dont freaking care
Dogo anajua aisee.
Ana mashabiki
Ana swagg
Ana hela
Safi sana.
Sio kama yule zoba anaesukumwa lakini haendi.
mbona kama kama diamond anatumia garama kubwa sana kuulinda umaarufu wake je kiuchumi kweli ataweza kulingana hata chamelion kweli?unawexa kuta alikiba anamzidi mkwanja benki maana sifa nyingi sana na anatumia pesa sana kuhonga watu wa media hadi mashabiki
Mjumbe hauwawi.
Anamuiga Lowasa na mipesa ya ufisadi.
Mjumbe hauwawi.
kati ya wanajf ambao huwa nawaheshimu wewe mmoja wapo bt. ushabiki wa kijinga unafanya uwe mjinga, kuna proof ya kuhonga hao mashabiki?? mpaka unaconclude hivo?? kwa pesa ipi unahonga watu 60000+??
Ukija huku hatuvai suti kama tupo bungeni uwe unajuwa kutofautisha haya majukwaa. Na ukija kugunduwa mimi ndio Babu Tale si ndio utazimia kabisa.kati ya wanajf ambao huwa nawaheshimu wewe mmoja wapo bt. ushabiki wa kijinga unafanya uwe mjinga, kuna proof ya kuhonga hao mashabiki?? mpaka unaconclude hivo?? kwa pesa ipi unahonga watu 60000+??
Mjini bila fitna maisha hayaendi, hii ndio radha ya celeb, sasa wote tumfagilie Chibu utamu utatoka wapi? Bila ya sisi hawa watoto hawatofika popote kwahiyo sisi ni msaada mkubwa kwao ili waendelee kukomaa.Ha haaaaa mkuu Matola linapokuja swala la kumponda Chibu na kumpaisha Kiba basi busara zake huwa anazipa likizo