Jembekafestival: Diamomd katika ubora wake

Jembekafestival: Diamomd katika ubora wake

hilo sio tatizo, yeye ndio msanii anaosemwa saaaaaana,, so kwa kila kitu lazima awape amani mashabiki.. na wanakwambia adui muumize kwa mafanikio na nguvu yake katika media ndio inafunga kazi... kwa wenzetu mbele kawaida saana usipanik

suala la kuchambana hiyo ni akilini mwako wewe, huo ni mziki wa makabila kama mengine cha zaidi tu umepata airtime na kuwapa pride wazaramo kama muziki wa kuelimisha kwa kutumia zaidi mafumbo(zingifuri, turufu, n.k ukiwa saa mbovu huweziyajuwa haya)

afu suala la kusema uswahili, kwani we mzungu au???

eeheeiyaaa!!!
 
Tayari nilishafanya kosa kuipenda Arsenal... abadani, sitarejea tena kosa la kupenda kisichopendeka kisha mshahara wangu uwe stress za kila wakati!!
 
huyu dogo kazi anaijua huo ndo ukweli japo mie sio mshabiki wake kivile but nasikilizaga miziki yake kwa sababu ya wadogo zangu wakiweka,

shida yake ni moja anapenda sifa sana ni mtu wakujionyesha sana hafanyi jambo bila kujitangaza, hata akinunua boxer mpya anataka hadi swizland wajue
kiufupi ni mswahili sana amekaa kuchambanachambana ule wimbo aloimba na hadija kopa nasema nawe zile ndo zinaendana na tabia zake.
We unaona anapenda sifa mwenzako anaendesha muziki kibiashara!! Unaona anapenda sifa kwa sababu anafanya biashara kisasa kama sio kisomi! Unaona anapenda sifa kwa sababu tofauti na wanamuziki wenzake, yeye ana timu na kila team member anatekeleza wajibu wake! Wakati unamuona anapenda sifa na mswahili, Cameraman wake anahangaika achukue shot gani kwa ajili ya kui-post kwenye social networks ili tajiri wake aendeleze interaction na mashabiki wake! Wakati mwingine utadhani hata akinunua boxer anaonesha kumbe mwenzako anaitangaza boxer... don't tak it personal, everything is business; ama directly or indirectly! Na kama unaamini huo ni uswahili na kupenda sifa basi majority ya wasanii hivi sasa ni wapenda sifa na waswahili; kuanzia wa US hadi Australia, Africa to Europe bila kusahau Asia... hao wote ni Waswahili na wapenda sifa lakini wakati unaamini hivyo, wenyewe wanajua wanachokifanya! Kwamba eti fulani hapendi show-off kama wengine wanavyojidanganya is all about living in primitive world in 21st century... Hizi si tena zama za Chema Chajiuza... is all about publicity! Ni namna gani utaji-publicize, is up to you!!!!
 
Mi nampenda kiba ila kiukweli kumpinga diomond ni sawa na upunguani!!.. unaanzaje kumpinga mtu kama huyo sasa kama sio ujinga?? Kiba uwezo anao ila kuna sehemu anakosea na anakosea zaid anapotaka kushindana na domo ktk kipindi hiki

kama kuna kitu management ya Kiba inapaswa kuelewa ni hiki!this is suicide...wamuache Domo,wao wafanye yao tu
 
Back
Top Bottom