Jembekafestival: Diamomd katika ubora wake

Jembekafestival: Diamomd katika ubora wake

Akili ya jirani ongeza na ya kwako

akili ya jirani siku nyingi sana tunajua ni akili ndogo, lakini as the days goo inazidi kuwa ndogo so wakati mwingine tunahitaji kuipiga starters, DONT HATE GET INSPIRED mbona simple tuu
 
mbona kama kama diamond anatumia garama kubwa sana kuulinda umaarufu wake je kiuchumi kweli ataweza kulingana hata chamelion kweli?unawexa kuta alikiba anamzidi mkwanja benki maana sifa nyingi sana na anatumia pesa sana kuhonga watu wa media hadi mashabiki

kama huo umati hapo diamond kaununua!!? chamilion atasubiri sana kumkuta dangote kwa pesa
 
Ukija huku hatuvai suti kama tupo bungeni uwe unajuwa kutofautisha haya majukwaa. Na ukija kugunduwa mimi ndio Babu Tale si ndio utazimia kabisa.

Mjini bila fitna maisha hayaendi, hii ndio radha ya celeb, sasa wote tumfagilie Chibu utamu utatoka wapi? Bila ya sisi hawa watoto hawatofika popote kwahiyo sisi ni msaada mkubwa kwao ili waendelee kukomaa.

hahahahaaa hate with purpose inaitwa basi sawa
 
Ila msisahau hiyo shoo haikuwa ya daimondo peke yake....mkaibaka!!!!

Hbaba alikuwepo

Nature wa sintah alikuwepo

Yamoto band walikuwepo
haaaa!!! kumbe huyo ha baba mwenyewe alikuwepo??? sasa naombeni aliyekuwepo anisaidie kuelewa hapa, so wakati wasaniii wengine wanaperform mashabiki walikuwapo wachache, si ndio, alivyopand RAIS wakajazana sasawale waliokodiwa wakachanganyikana na wale wachache waliokuwepo aliosema ha baba ndio kitu kikawa nyomi hivyo?? si ndio......???
 
Anachomind huyo ni kuwa dai anafanya kama ilikua one man show wakati na wengine walikuwepo

hahahahaaaaa sasa jamani hadi nakosa cha kuandika, is there any were diamond kaandika ignore others and prays me only about last night??? au zile picha diamond anazoweka kwenye page yake kule IG ndio zinamkera?? sasa na yeye si ana page yake na alikuwa na camera man wake??? sasa na yeye si atupie picha tuone jinsi watu walivyokuwa wanamshangilia na yeye arushie cap ya about last night, people bwana kama vyuraaa, kutupigia kelele na anajua maji tutachota tuuu, yani am straggling to relate kwa kweli aliifanyaje show kuwa yake peke yake sasa
 
Mkuu hapo sasa ndio utakapojua CHIBU anajua kucheza na akili za mashabiki wake, na hii ndio silaha yake kubwa

Nenda kwenye social media za wasanii wote walioshiriki hakuna hata mmoja aliyelipa coverage yakutosha kama Chibu, yaani hapo kuanzia mapokezi , sound check na shows yenyewe kwa mtu aliyeko Nijeria anaye mfollow chibu ataamini ile ilikua show ya mtu mmoja tu........ Kwanini?

Ana kamera man wake maalamu anacheza na angle ukiziona hizo picha utajua anayepiga anajua anakenga nini
In short Chibu anajua kucheza na media kuhakikisha unajua anafanya nini, nimecheck acc ya Nature nayamoto band masikini hawajapost chochote zaidi ya matangazo watakua kirumba
Unajua mtu anapoina kwenye social media yako unapost unajaza watu vile anaamini wewe ni bora na hata muandaa tamasha anavutika kukuita maana anaamini unauzika akiona tu post zako

Kilichopo ni kwamba fursa zilizopo wasanii hawazitumii mwenzao akizitumia wanaanza majungu
Ukweli usiopingika ni kwamba Chibu alidai alipwe pesa kwa kila tiketi itakayouzwa na si kumlipa kama walivyolipwa akina h baba
Yaani kama tiketi ni buku 5 basi yeye anataka buku mbili au tatu, fanya mara elfu60+ utapata idea anaweza kuwa amevuta ngapi
Hii inamfanya nayeye kuwa muandaaji na anapata faida kubwa zaidi kuliko kulipwa tu, una dhani kwanini amejua idadi ya tiketi na akaifurahia?

sasa mkuu kuyaelewa haya inahitajika akili kubwa, si kwa akili ndogo kama majirani zetu.
 
kama anauwezo wa kuwanunua hao watu wote ninaowaona hapo basi huyu dogo ni shidreeeeee!! kajamaa ni kabillionea basiii, coz hao watu hapo wapo toka saa 6 mchana, mond kapanda kucheck sound watu wakapagawa mbaya, wakamsubiri more tha 12 hours mpaka alipopanda @ 8 usiku hakuna aliyekuwa amejisogeza mahali, so if that patient its was for money basi walilipwa ghali saaaanaaaaaaaa!! haiwezekani iwe ni kwa kupewa tiketi tuu wakamsubiri mtu wasiompenda that long!!!? mnaosema hao watu hapo uwanjani wamenunuliwa try to relate! other wise you are just haters as we already knows you!

watajibeba mwaka huu timu tuzo!
 
kiba alivyonunua team wakaunganisha nguvu kama UKAWA mbona hamkusema????? eeee!!???? mbona hamkusemaaaaa!!???? au unafikiri hatujui???? hahahahahaaaa kama nawaona utakavopanic!! mxiuuuuuuuwwwww zetu

ahahahaahaaaaaa!pesa yenyewe aliyonunulia watu alikopa!akaishiwa sasa akaona gharama kununua watu mpaka akaanza kuruka ukuta ili wasimuone anakoingia maana wangemdai pesa mashabiki!uuuwi mbavu zangu leo
 
Mi nampenda kiba ila kiukweli kumpinga diomond ni sawa na upunguani!!.. unaanzaje kumpinga mtu kama huyo sasa kama sio ujinga?? Kiba uwezo anao ila kuna sehemu anakosea na anakosea zaid anapotaka kushindana na domo ktk kipindi hiki

na kiba hakurudi kwenye game kwa vile alijihisi yupo tayari kurudi, alirudi kwa shinikizo la mashabiki, mashabiki ndio aliomsukuma kwa nguvu, rudi bwana wewe unakipaji, kwanini diamond asokuwa nacho akupite??? rudi king wetu, maneno kama haya yakamfywatua kiba nat za brain na yeye bila kutake time akajipanga kwanza taratibu then kama ni ushindani ndio uanze baada ya kuweka miziz ya kutosha chini, akakurupuka, akataka afanye maajabu kama yale ya Yesu atoe wimbo mmoja tu akae juu, ndio mbwembwe zile zikaanza, return of king, nimekuja kufuta vumbi kiti changu, waaaaapiiiiiii!!!???? and i can asure you kama sio kwa muunganiko huu walioamua kuufanya hawa ma X na team kiba wenyewe hii tuzo ya juzi kiba angeiona kwenye TV akitoka diamond kwa wingi wa followers anafuatia wema tena kwa ukaribu sana, sasa imagine team wema wooote walihamasishan kumpigia kiba kura, ili tu kumkomesha diamond alafu eti mtu ajidanganye kiba ndio anaependwa kuliko diamond maaaaaaa...viiiii!!! mkajiliwazeee!!
 
Hapa hata mimi nimekuelewa hawa wavuta bangi wanaokwenda na kandambiri studio wanataka Diamond ndio awapromote kwenye social media zao?

Kwahiyo hawa kenge hata wakialikwa kufanya show kwenye matamasha makubwa kama Kora watasubiri waandalizi ndio wawakusanyie picha za matukio? Kweli ujinga ni kipaji na maisha ya Temeke pia yana athari zake.

ha ha haa daah we jamaa una maneno flani hivi yanakita kwenye mfupa!
 
Mkuu hapo sasa ndio utakapojua CHIBU anajua kucheza na akili za mashabiki wake, na hii ndio silaha yake kubwa

Nenda kwenye social media za wasanii wote walioshiriki hakuna hata mmoja aliyelipa coverage yakutosha kama Chibu, yaani hapo kuanzia mapokezi , sound check na shows yenyewe kwa mtu aliyeko Nijeria anaye mfollow chibu ataamini ile ilikua show ya mtu mmoja tu........ Kwanini?

Ana kamera man wake maalamu anacheza na angle ukiziona hizo picha utajua anayepiga anajua anakenga nini
In short Chibu anajua kucheza na media kuhakikisha unajua anafanya nini, nimecheck acc ya Nature nayamoto band masikini hawajapost chochote zaidi ya matangazo watakua kirumba
Unajua mtu anapoina kwenye social media yako unapost unajaza watu vile anaamini wewe ni bora na hata muandaa tamasha anavutika kukuita maana anaamini unauzika akiona tu post zako

Kilichopo ni kwamba fursa zilizopo wasanii hawazitumii mwenzao akizitumia wanaanza majungu
Ukweli usiopingika ni kwamba Chibu alidai alipwe pesa kwa kila tiketi itakayouzwa na si kumlipa kama walivyolipwa akina h baba
Yaani kama tiketi ni buku 5 basi yeye anataka buku mbili au tatu, fanya mara elfu60+ utapata idea anaweza kuwa amevuta ngapi
Hii inamfanya nayeye kuwa muandaaji na anapata faida kubwa zaidi kuliko kulipwa tu, una dhani kwanini amejua idadi ya tiketi na akaifurahia?

wasipo kuelewa na hapa basi shule hazina umuhimu na maana yoyote kwa Mtanzania.
 
haaaa!!! kumbe huyo ha baba mwenyewe alikuwepo??? sasa naombeni aliyekuwepo anisaidie kuelewa hapa, so wakati wasaniii wengine wanaperform mashabiki walikuwapo wachache, si ndio, alivyopand RAIS wakajazana sasawale waliokodiwa wakachanganyikana na wale wachache waliokuwepo aliosema ha baba ndio kitu kikawa nyomi hivyo?? si ndio......???

inawezekana kipindi anaimba mashabiki hawakumsapoti
 
huyu dogo kazi anaijua huo ndo ukweli japo mie sio mshabiki wake kivile but nasikilizaga miziki yake kwa sababu ya wadogo zangu wakiweka,

shida yake ni moja anapenda sifa sana ni mtu wakujionyesha sana hafanyi jambo bila kujitangaza, hata akinunua boxer mpya anataka hadi swizland wajue
kiufupi ni mswahili sana amekaa kuchambanachambana ule wimbo aloimba na hadija kopa nasema nawe zile ndo zinaendana na tabia zake.
 
better late than never... Washtue na wenzio.
 
better late than never... Washtue na wenzio.

mkuu am cognitivey grown enough mie sipo after team yoyote wala chuki na msanii yoyote mtu yoyote akifanya kazi nzuri nampa sifa yake hata kama awe alishawahi kunitaliki!! eboo akivurunda vilevile .

mi ni mshabiki wa msondo ngoma, jide, barnaba boy, vanesa mdee na marijan
 
huyu dogo kazi anaijua huo ndo ukweli japo mie sio mshabiki wake kivile but nasikilizaga miziki yake kwa sababu ya wadogo zangu wakiweka,

shida yake ni moja anapenda sifa sana ni mtu wakujionyesha sana hafanyi jambo bila kujitangaza, hata akinunua boxer mpya anataka hadi swizland wajue
kiufupi ni mswahili sana amekaa kuchambanachambana ule wimbo aloimba na hadija kopa nasema nawe zile ndo zinaendana na tabia zake.

hilo sio tatizo, yeye ndio msanii anaosemwa saaaaaana,, so kwa kila kitu lazima awape amani mashabiki.. na wanakwambia adui muumize kwa mafanikio na nguvu yake katika media ndio inafunga kazi... kwa wenzetu mbele kawaida saana usipanik

suala la kuchambana hiyo ni akilini mwako wewe, huo ni mziki wa makabila kama mengine cha zaidi tu umepata airtime na kuwapa pride wazaramo kama muziki wa kuelimisha kwa kutumia zaidi mafumbo(zingifuri, turufu, n.k ukiwa saa mbovu huweziyajuwa haya)

afu suala la kusema uswahili, kwani we mzungu au???
 
hilo sio tatizo, yeye ndio msanii anaosemwa saaaaaana,, so kwa kila kitu lazima awape amani mashabiki.. na wanakwambia adui muumize kwa mafanikio na nguvu yake katika media ndio inafunga kazi... kwa wenzetu mbele kawaida saana usipanik

afu suala la kusema uswahili, kwani we mzungu au???

uswahili huwa maana nyingi am on the side of literal meaning.
 
uswahili huwa maana nyingi am on the side of literal meaning.

mkuu kama unamaanisha show off mbona mbele ndio zilikoanzia? akina Chris Brown, Rihanna, Kanye West n so on mbona hizo ndio zao au nao pia ni waswaz?
 
Back
Top Bottom