Anachomind huyo ni kuwa dai anafanya kama ilikua one man show wakati na wengine walikuwepo
Mkuu hapo sasa ndio utakapojua CHIBU anajua kucheza na akili za mashabiki wake, na hii ndio silaha yake kubwa
Nenda kwenye social media za wasanii wote walioshiriki hakuna hata mmoja aliyelipa coverage yakutosha kama Chibu, yaani hapo kuanzia mapokezi , sound check na shows yenyewe kwa mtu aliyeko Nijeria anaye mfollow chibu ataamini ile ilikua show ya mtu mmoja tu........ Kwanini?
Ana kamera man wake maalamu anacheza na angle ukiziona hizo picha utajua anayepiga anajua anakenga nini
In short Chibu anajua kucheza na media kuhakikisha unajua anafanya nini, nimecheck acc ya Nature nayamoto band masikini hawajapost chochote zaidi ya matangazo watakua kirumba
Unajua mtu anapoina kwenye social media yako unapost unajaza watu vile anaamini wewe ni bora na hata muandaa tamasha anavutika kukuita maana anaamini unauzika akiona tu post zako
Kilichopo ni kwamba fursa zilizopo wasanii hawazitumii mwenzao akizitumia wanaanza majungu
Ukweli usiopingika ni kwamba Chibu alidai alipwe pesa kwa kila tiketi itakayouzwa na si kumlipa kama walivyolipwa akina h baba
Yaani kama tiketi ni buku 5 basi yeye anataka buku mbili au tatu, fanya mara elfu60+ utapata idea anaweza kuwa amevuta ngapi
Hii inamfanya nayeye kuwa muandaaji na anapata faida kubwa zaidi kuliko kulipwa tu, una dhani kwanini amejua idadi ya tiketi na akaifurahia?