Jei Efu Bana..

nipo baby mi niliwaona nikawapotezea wanaonesha ni namna gani wanavyokupenda bila kukutaja hawali nawarembo wao bishanga tumekuzimia lakini unawapotezea.
 
nipo baby mi niliwaona nikawapotezea wanaonesha ni namna gani wanavyokupenda bila kukutaja hawali nawarembo wao bishanga tumekuzimia lakini unawapotezea.
baby,chagua mwenyewe hili busu litue sehemu gani ya ngozi yako nyororo.....mmmmmmmwwaaaaaaaaa!!!!!
 
Kwahiyo zamani ni raha kuliko sasa? Mi nasubiri vya sasa viitwe zamani ili nione tofauti.
 
kama kako kwenye mgomo mpotezee inawezekana alikuwa anaondoa stress.hivi ameshapata mshahara kweli mlipe basi
 
ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!kunako baby ngozi ya mwili wangu yote ni nyororo mi mwili wangu bado maji yanateleza hayajagoma bado
 
Hahahaaaaaa uwiiiiii sweetlady hata kunitonya jamani kuwa napitwa huku looh!!! Kipipi wangu hata weye???!!!
 
Last edited by a moderator:
samahani mkuu TANMO, wewe ni mwandishi wa gazeti gani? mia
 
Last edited by a moderator:
samahani mkuu TANMO, wewe ni mwandishi wa gazeti gani? mia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…