Hapa mna diskasheni gani msilale hadi mida hii?
who is causing havoc here...
sweetlady, ummu kulthum, TANMO, Platozoom,
Judgement, dogo Erickb52, Bishanga, Remmy, princess enny
whats not hapenning?
Mnatudisturb tunakula daku mara makelele sebuleni!
tenah usjarbu!! anaweza akakupa hata ban ya moyo!! habitt TANMO karbu tule daku!!
Hapa mna diskasheni gani msilale hadi mida hii?
who is causing havoc here...
sweetlady, ummu kulthum, TANMO, Platozoom, Judgement, dogo Erickb52, Bishanga, Remmy, princess enny
whats not hapenning?
Mnatudisturb tunakula daku mara makelele sebuleni!
uspate wivu swtyto!! hata kula cjaanza nakusubiri wewe!!napata wivu
SL !
Ntakerazi mie Alhaji ujue ?
Afu mie kama shem wako , hujui kama nikuupiga juu ya meza unazurika ?
Haya ntakerazi kabla sijakusasambulia!
Ohooo!
Ntamwaga ? Usinifanye nikasaula ! In front of ze pipo .
Hapa mna diskasheni gani msilale hadi mida hii?
who is causing havoc here...
sweetlady, ummu kulthum, TANMO, Platozoom, Judgement, dogo Erickb52, Bishanga, Remmy, princess enny
whats not hapenning?
Mnatudisturb tunakula daku mara makelele sebuleni!
uspate wivu swtyto!! hata kula cjaanza nakusubiri wewe!!
tatizo watu humu wanasafiria nyota za wenzao..................af kigoma cha daku ndo kinapita nikimaliza kula ntarudi
astaghfrulah!! sweetlady karbu tule daku mumy!!Mwezi mtukufu hayo maneno kwenye red hayaruhusiwi jf !
swtyto tupo wangapiuspate wivu swtyto!! hata kula cjaanza nakusubiri wewe!!
ndo uwaaambie kunani sweetlady?
Oooooh !!!! Samahani shemeji kipenzi ulimi umeteleza sirudii tena shem !Usisaule tafadhali !
Bibie ummu kulthum umeniita nikuitike?P hajalogwa bwana, aliyelogwa ni asp tena kalogwa vibaya na wa kumlogololowa naye kalogwa.af E leo mbona unaonekana na kama chale chale hivi hapo usoni umepigwa lini hizo chata wng.usipinge hii kitu wt wote wanakushangaa leo, go moja kwa moja kwa ans
sweetlady,no wonder Vin Diesel kakupiga chini,unaongea sana.Ntakuitia Nyani Ngabu sasa hivi......afu Bishanga ujue ulivolog in tu harufu kali ya pombe ya kienyeji imesambaa humu chit chat !