Jeffery Samson Mkuki: Msomi wa Chuo Kikuu anayehangaika kijijini bila ajira

Ukweli ni kwamba HAKUNA ELIMU INAYOTOA PESA, UKITAKA PESA LAZIMA UFANYE KAZI YA KUAJIRIWA, AU KUJIAJIRI. Biashara pia ni kazi ya kujiajiri.
 
Kila siku huwaga natafakari....unasemaga watu wanasomea ujinga...unamaanisha hii elimu dunia ndio ujinga!!?...


Hizo "ga" kwenye hayo Maneno alikufundisha nani?

Hizo nukta nne kati ya neno "natafakari" na "unasemaga" alikufundisha nani?

Kama hujafundishwa na yeyote na Mwalim na wazazi wako walikuwa wanaona kawaida tu ukifanya hivyo basi elewa kuwa walikuwa wanakufundisha ujinga.
 
Kama alipata ajira huko "mujini" ilishindikana nini kuwasaidia hao ndugu zake akiwa hukohuko na ndugu zake wakiwa kijijini?

Kinachofuata atauza hiyo HP yake, hapo siilaum serikali kwanza. Namlaum yeye moja kwa moja
Ni jambo lisiloingia akilini kwamba kipato cha kupakia mizigo na kuuza mkaa kinaweza kuwasaidia hao ndugu zake kuliko alichokuwa anapata kwenye ajira aliyokuwa nayo.Kuna uwezekano mkubwa kwamba ajira yoyote atakayopata ataicha na kurudi nyumbani
 
He looks worn out and in despair.

Amejikatia tamaa. BIG MISTAKE
 
Faculty hizi bhana...Kuna kipindi serikali inakuwa na uhitaji mkubwa wa Watu fulani sasa wale watu wakishapatikana aisee hawa wengine wanaovamia hizj Faculty lazima waisome namba..!! Hata kujiajiri huwezii ni hatarii sanaa...
 
Kuna watu wanapiga hela mjini kwa kozi za ajabu ajabu tu za mawasiliano. Sembuse yeye wa Telekomyunikesheni?

Huu ni uzembe tu naona, hayuko sawa kisaikolojia jamaa
Faculty hizi bhana...Kuna kipindi serikali inakuwa na uhitaji mkubwa wa Watu fulani sasa wale watu wakishapatikana aisee hawa wengine wanaovamia hizj Faculty lazima waisome namba..!! Hata kujiajiri huwezii ni hatarii sanaa...
 
Kuna watu wanapiga hela mjini kwa kozi za ajabu ajabu tu za mawasiliano. Sembuse yeye wa Telekomyunikesheni?

Huu ni uzembe tu naona, hayuko sawa kisaikolojia jamaa
Ndogu achaa tuu watu wa tele na Computer yani wanalia kweli kazi hakunaa na kujiajiri hawaweziii
 
Kwa mtazamo wangu naona kama ye ndo kakosea, kwa mjibu wa maelezo yako kumbe alikuwa na ajira ya kuzanguka mikoan akaamua kuacha ili aje akae na wadogo zake kijijin, kwanin asingewachukua aishi nao mjin ili yeye aendelee kupambana, ila unasema aliacha kazi akarudi kijijin kuwaangalia wadogo zake
 
Kuna kwenda shule na kuelimika. Kwenda shule ni kutoka nyumban kwenda majengo ya shule.

Kuelimika ni matokeo ya kwenda shulen, ni kubadilika kwa fikra na mtazamo hali inayomwezesha mhusika kutawala mazingira yanayomzunguka (nasio mazingira kumtawala mhusika).
 
Reactions: T11
Kwa maelezo ya mwandishi hapo juu ni kwamba alisha ajiriwa na makampuni ya mawasiliano akaacha ili arudi kijijini kuwalea wadogo zake. So hajakosa ajira bali hayo ndo maisha aliyoyachagua.
Angewza kuwachukua wadogo zake na kuishi nao mahali alipokuwa anafanya kazi na sio kuacha kazi na kurudi bush
 
mpelekeni katika operation CHADEMA NI MSINGI, Huyu atakuwa ni msaada mkubwa sana.
 
Reactions: T11
Anatakiwa kumkimbilia Mwenyeziungu asali yoteee ya bahati mbaya na kutokutumia akili zake tena yamtoke.


Bila hivyo mmmmh kila atakapokwenda yatamfata na kumtenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…