Jeff Bezos arudi kwenye nafasi yake, Elon Musk Apoteza $14bn kwa siku moja

Hivi ulimuelewa uliyemjibu lakini?

Kwahiyo Elon alivyoshuka juzi kapoteza utajiri wake kwa Cash Money au vipande vya shares vimepungua thamani??

Elon akiamua auze shares zake zote unafikiri atamake quick cash kumatch na utajiri wake?? Dangote Group iko kwenye soko gani la hisa? Dangote akiamua auze facilities zake tu za hapa Tanzania haichukui mwezi anavuta mpunga wake anasepa, hata kama atalipwa kwa installments..

Hawa wazungu wengi wamavalue utajiri wao kwa shares of which ukitaka uziturn kwa quick cash ni ngumu sana kupata cash kwa wakati. Ningeenda pia nifahamu Tesla walimake profit kiasi gani mwaka uliopita?
😂 😂 😂
sikuona kwataarifa yako ni suala la dakika kadhaa kuigeuza Hisa yako kuwa Cash kuliko kuuza mafurushi ya matofari na michanga...Musk akitaka leo hii auze 2% sekunde tu majuba wananunua ni mail msoto mkari Dangote kuuza mafurushi ya mchanga huko kwa wajomba mchumari
 
Bill Gates ndie Tajiri wa Cash hao wengine ni Mizuka tu... ungo angani ukikwama anaanguka pwaaa.
 
😂 😂 😂
sikuona kwataarifa yako ni suala la dakika kadhaa kuigeuza Hisa yako kuwa Cash kuliko kuuza mafurushi ya matofari na michanga...Musk akitaka leo hii auze 2% sekunde tu majuba wananunua ni mail msoto mkari Dangote kuuza mafurushi ya mchanga huko kwa wajomba mchumari
Kama ninrahisi kuuza hisa kiasi icho waulize wenye hisa za voda au precision watakupa mrejesho. Kuna walionunua hisa kwa 1000/-, leo wanauza kwa 400/- na bado hazina wanunuzi.

Kwa tesla inaweza ikawa tofauti, kwa vile demand ya hisa zake sokoni ziko juu. Hisa moja ya tesla leo ni $854. Ila kitendo cha elon ambae ni co founder na CEO wa tesla leo kuamua kuuza only 5% ya hisa zake...huu uwamuzi utawashtua sana wanunuzi na kujiuliza either Elon mwenyewe haoni future ya kampuni au kuna shida gani. Itapoteza confidence za investor na thamani ya hisa inaweza ikashuka ikafika hata $100 kwa hisa...

Ni kama bongo tu ilivyokuwa, yaani Rostam share holder mkubwa wa Vodacom anauza hisa zake zote, wewe unaenda kununua..bila kujiuliza kwann largest shareholder ameamua kuachana na hii biashara...ameona nini, anataarifa gani ambazo zimempelekea kufanya haya maamuzi ambazo wewe huku chini huna.

Kwa wenzetu uwamuzi wa Rostam tu ungeporomosha sana thamani ya hisa za kampuni. Ila kwetu ilikuwa tofauti. Ndo hiki kinatokea...hisa za voda haziuziki.
 
Jifunze kwanza tofauti ya Majority Shares na Public Shares mala ya pili hii unaandika huu utopolo tiny ngumzia Hisa za wamiliki wa kampuni wewe unatoa mfano wa mnunuzi wa Hisa kwa Broker.

Jifunze kwanza tofauti ya Majority Shares na Public Shares mala ya pili hii unaandika huu utopolo tiny ngumzia Hisa za wamiliki wa kampuni wewe unatoa mfano wa mnunuzi wa Hisa kwa Broker.

Mtanange mkali wafaida natamani ligi iendelee ili nizidi kupata elimu
 
Utajiri wa kijinga sana, panda shuka hiyo presha yake si ajabu kusikia fulani kavuta!
Hilo lipo sana tu. Bosi wa kampuni ya Heidelberg (wazalishaji wakubwa wa saruji) alijiua kunako 2008 baada ya uchumi kuporomoka na share za kamuuni yao kushuka sana. Alishindwa kuhimili msongo wa mawazo
 
Wewe jamaa ukichoandika aibu nimeona mimi walahi

1)Utajiri wa hisa; hakuna tajiri aliyekuwa ni wa Cash eti sio tajiri wa hisa matajiri wakubwa wote ni wahisa unasema Dangote kwa Cash alizonazo anaweza shika nafasi 10 bora huu ni ujinga ulioandika hapa Dangote utajiri wake ni kutokana na hisa anazomiliki Dangote Group na hakuna kampuni isiyo shuka na kupanda kwenye hisa mwaka 2020 tu juzi Dangote amepoteza utajiri wa kama Dollar Billion 4 sikumbuki vizuri kutokana na kuyumba kwa Hisa za Dangote Group, MO Dewji nayeye juzi tu kapoteza kama Dollar kama 0.4 Billion...Hakuna tajiri asiyeshuka na kupanda Duniani na hakuna tajiri asiyekuwa tajiri wa Hisa.

Kusema Dangote anaweza kulingana au kuwafikia wakina Bill, Larry Page, Musk ni ujinga uliotukuka...Liquidity(Cash) mtu ni siri ya mtu Economically mwenye utajiri mkubwa automatically anamiliki Cash nyingi mbali na Hisa Cash ya tajiri inakuwa generated na gawio analopokea kutoka kwenye kampuni yake ni upuuzi kusema mtu mwenye makadilio ya utajiri wa Dollar 45 Billion awe na Cash nyingi kuliko tajiri mwenye makadirio ya Dollar 190 Billion...ufupi tu Logically jumla ya utajiri wote alionao Dangote inaweza kuwa ni sawa Cash tu anayo Hold Elon Musk, Jumla ya utajiri wote anaomiliki MO inaweza kuwa ni sawa na Cash tu anayoHold Larry Page...mambo yanaenda hivyo.

Futa ujinga kwamba eti Musk, Bezos na Giants wengine ukifuta Hisa zao zote wanabaki hawana kitu hao jamaa wanaHold Cash nyingi sana kwenye mabank...fuatilia matumizi ya Cash anayofanya kama CEO wa ORACLE Larry Errison.

Kwenye mfano wa Voda ndio umepwaya zaidi yaani unachanya aina za Hisa yaani kwako mmiliki wa kampuni mfano Billgate anamili Microsoft So anahisa zake unamuweka sawa na anayenunua Hisa za Microsoft kwenye soko la Hisa tumwite Juma...So kwako Billgate na Juma ni sawa kwasababu umesikia juma kanunua Hisa Microsoft leo Hizi ni aina mbili tofauti za hisa...So unaposema nani kanunua Hisa za Voda kalala njaa mfano wako hauko valid ilitakiwa useme mmiliki wa Voda anayemiliki Hisa 30% kalala njaa kitu ambacho hakiwezekani mtu anayeHold Hisa 10% Voda ana Liquidity ya kukulisha wewe na familia yako miaka zaidi ya 1000...mfano wako umeonesha jinsi gani umekutupuka.
Asante kwa kumwelewesha huyu jamaa,hapo ndio utajua hujuwi
 
kasDDD
😂 😂 😂
sikuona kwataarifa yako ni suala la dakika kadhaa kuigeuza Hisa yako kuwa Cash kuliko kuuza mafurushi ya matofari na michanga...Musk akitaka leo hii auze 2% sekunde tu majuba wananunua ni mail msoto mkari Dangote kuuza mafurushi ya mchanga huko kwa wajomba mchumari
Tena hizo hisa anaweza nunua jeff b, au bill gate.
 
Ndio inawezekana ukaziuza share zenye thamani ya bilionj moja zi kawa cash

Elon amepoteza thamani ya share sio cash money na hizo share zinaweka kuwa real money akitaka kuziuza .

Jifunze kwa mfumo wa hisa unavyofanya kazi

Elimu iko bure mtandaoni otherwise utaona mazigazi
Sio rahisi kama mnavyofikiri.. Eti uweke shares zenye thamani ya Trillion 50 ya madafu alafu upate hela haraka haraka tu..

Ndio maana hata kama biashara ina Asset za kiasi gani, kama haina liquidity nzuri ni ngumu sana kurun hiyo biashara.. Unafikiri kwanini makampuni mengi ya kibongo wazee wakifa watoto wanaishia kuuza mali moja moja? Unafikiri kwanini watoto wa Mzee Mrema kule wameachiwa hotels na real estates za kutosha lakini sasa wanastruggle kurun hizo biashara??

Utajiri wa wazungu huu wa shares ni pasua kichwa na usio na uhalisia wowote.. Imagine Tesla au Amazon wakapiga fyongo kidogo tu PR yao ikachafuka, shares zikashuka thamani overnight unarudi kwenye ground zero..
 
Tesla haingalii faida leo Bob sio Toyota hiyo unauwelewa gani ni masuala ya kampuni.

PayPal nimekupa mfano, it was Hustling zakupata mtaji...Nitajie facility za uko mtwara zina thamani gani umeshikiria facility facility.
Sasa kama faida yake haijulikani, na utajiri wa huyo mtu ni shares anazomiliki kwenye kampuni zake, unajua PR ya kampuni ikitokea ikachafuliwa na watu wakakosa imani na hiyo miradi yake utajiri wake utaporomoka kwa kasi isiyo ya kawaida??

Wewe ni bidhaa gani ya huyo Kaburu Elon unaitumia?? Unakijua kinachoendelea WhatsApp sasa?? Matajiri wa kweli ni akina Carlos Slim akina Ortega
 
Sio rahisi kama mnavyofikiri.. Eti uweke shares zenye thamani ya Trillion 50 ya madafu alafu upate hela haraka haraka tu..

Ndio maana hata kama biashara ina Asset za kiasi gani, kama haina liquidity nzuri ni ngumu sana kurun hiyo biashara.. Unafikiri kwanini makampuni mengi ya kibongo wazee wakifa watoto wanaishia kuuza mali moja moja? Unafikiri kwanini watoto wa Mzee Mrema kule wameachiwa hotels na real estates za kutosha lakini sasa wanastruggle kurun hizo biashara??

Utajiri wa wazungu huu wa shares ni pasua kichwa na usio na uhalisia wowote.. Imagine Tesla au Amazon wakapiga fyongo kidogo tu PR yao ikachafuka, shares zikashuka thamani overnight unarudi kwenye ground zero..
Huna unachojua ndio maana unabisha bisha tu

Kwa kifupi upo nje ya ulingo ya ndani huyajui .

Endelea kubisha Sina muda wa kubishana
 
😂 😂 😂
sikuona kwataarifa yako ni suala la dakika kadhaa kuigeuza Hisa yako kuwa Cash kuliko kuuza mafurushi ya matofari na michanga...Musk akitaka leo hii auze 2% sekunde tu majuba wananunua ni mail msoto mkari Dangote kuuza mafurushi ya mchanga huko kwa wajomba mchumari
Aiseee CCM itaendelea kutawala milele kwa mtindo huu wa akili..
 
Siku 5 baada ya Elon Musk kutangazwa kwa mara ya kwanza kuwa mtu tajiri zaidi duniani baada ya share zake katika kampuni ya magari ya umeme kupanda kwa 4.8% na kufikisha utajiri wa $186bn na kukaa juu ya Bezos kwa $1.5bn zaidi, leo hii kashuka tena...

Kushuka kwake sio kama Bezos amepanda kwa kasi, Maana Bezos mwenyewe Jana tuu kachoma $3.6bn baada ya share zake kushuka kwa 2%,

Ila Musk yeye leo kaenda mbali zaidi kwa kupoteza Takriban $13.5bn za utajiri wake baada ya share zile zile zilizompandisha leo hii kushuka kwa 8.0% na,
Musk Tayari alikua amefikisha $189.7bn, ila sasa Ana $176.2bn.

Hizi habari ni za kuaminika kutoka kwa Forbes

----
Elon Musk Falls To Second Richest Person In The World After His Fortune Drops Nearly $14 Billion In One Day

After a brief stint as the wealthiest person on the planet, Tesla billionaire Elon Musk is again the second-richest person in the world after his fortune fell by nearly $14 billion in one day.

Shares of his electric-vehicle maker, Tesla, fell by nearly 8% on Monday, pushing Musk’s net worth down by $13.5 billion, to $176.2 billion. After briefly overtaking Amazon CEO Jeff Bezos as the world’s richest person last Friday, Musk has again fallen to second spot, according to Forbes’ estimates.

He is now about $6 billion behind Bezos, who has a net worth of $182.1 billion. Shares of Amazon fell by more than 2% on Monday, lowering Bezos’ net worth by $3.6 billion.

Over the course of 2020, Musk received several tranches of options worth billions of dollars each as Tesla hit various market capitalization and EBITDA milestones. The board of directors of Tesla certifies the award of each tranche, and then issues a statement in a regulatory filing with the Securities and Exchange Commission. Musk appears to be eligible for another tranche of 8.44 million options—worth around $6.25 billion as of Monday’s closing price—but Forbes hasn’t yet attributed these options to Musk because the board hasn’t publicly certified them. (Bloomberg appears to count Musk’s latest tranche of options in its net worth calculations for Musk.)

Fueled by the skyrocketing Tesla share price, Musk’s fortune has increased by around $150 billion since March 2020, when he was worth $24.6 billion. Tesla’s stock rose more than 720% in 2020, and has already gained another 12% in the first week of 2021. Tesla joined the S&P 500 Index in late December 2020, a move that drove the stock higher as well. The world’s most valuable automaker, Tesla produced half a million cars in 2020—a fraction of the production at global giants like GM and Toyota.

Despite Musk’s drop on Monday, he is still some $20 billion richer than the third richest person in the world, French luxury tycoon Bernard Arnault (worth $154.6 billion today).

Source: Elon Musk Falls To Second Richest Person In The World After His Fortune Drops Nearly $14 Billion In One Day
Hivi hizo share zinapandaje na kushukua Kwa siku moja tuu. Ni utajiri wa Aina gani mbona mimi sielewi kabisa huu utajiri. Na hizo fedha anazihifahi wapi na je faida anaipataje
 
Huna unachojua ndio maana unabisha bisha tu

Kwa kifupi upo nje ya ulingo ya ndani huyajui .

Endelea kubisha Sina muda wa kubishana
Sasa wewe unayejua mbona unaishia kurusha tu mikono hewani.. Si ajabu hujawahi kufanya wala kusimamia portfolio ya aina yeyote ile..

Eti mtu anapoteza $14bn ndani ya masaa tu alafu mnashindwa kugundua hivi ni viini macho tu. Wazungu wataendelea kuwashikia akili mpaka mtakapotoka kwenye huo upuuzi mnaoogelea nao..
 
Kuikweli kabisa..utajiri wa hisa ni tofauti kabisa na utajiri wetu sisi waafrika.

Dangote kwa asset na cash aliyonayo, anaweza amawa hata ndani ya kumi bora ya matajiri wa Dunia.

Utajiri wa Elon na Jeff uko tied na ongezeko la thamani a hisa kwenye kampuni wanazoziongoza. Siutajiri wa cash...

Hisa its a tricky business.....zinapanda na kushuka muda wowote based on speculations tu. Na wakati mwingine ni ngumu kubadili hisa kuwa cash. Maana ili upate cash unayoitaji unapaswa kuuza hisa zako, na mtu kama Elon musk akisema auze hisa zake hata asilimia moja tu, italeta tetemeko kubwa kwenye thamani ya hisa zake. Investors watahofia kununua hisa maana wanahisi hata CEO wao hana confidence na soko la hisa za kampuni ndo maana anauza zake...so kila mtu atataka kuuza hisa zake...na mwisho wa siku thamani ya hisa zitaporomoka.

So unaweza ukawa tajiri wa hisa na ukafa na njaa ndani ...tumeona wamiliki wa hisa za vodacom. Kuna watu wanamiliki hisa za million 20, na wamekwama kuzibadili kuwa cash..maana hakuna anaezitaka. Na wakati mwingine thaman yake inashuka, unakuta hisa ya 1000 sasa ni 500 tu..ukiuza unapata nusu tu ya kile ulichowekeza....

Huu utajiri wa hawa jamaa ni utajiri wa mapicha picha.....mwache dangote...na akina Ambani wa india. Hawa jamaa wana mawe kweli kweli...sio hisa tunazochezewa nazo akili.
Kwenye huo utajiri wa Hisa faida wanapataje sasa Kwa staili hiyo Donald Trump Kwa majengo aliyokuwa nayo anaweza kuwa tajiri mkubwa Sana Trump towers . Sasa Kwa mfano Elon musk faida si anapata akiuza magari ya umeme au inakuwaje
 
Sio rahisi kama mnavyofikiri.. Eti uweke shares zenye thamani ya Trillion 50 ya madafu alafu upate hela haraka haraka tu..

Ndio maana hata kama biashara ina Asset za kiasi gani, kama haina liquidity nzuri ni ngumu sana kurun hiyo biashara.. Unafikiri kwanini makampuni mengi ya kibongo wazee wakifa watoto wanaishia kuuza mali moja moja? Unafikiri kwanini watoto wa Mzee Mrema kule wameachiwa hotels na real estates za kutosha lakini sasa wanastruggle kurun hizo biashara??

Utajiri wa wazungu huu wa shares ni pasua kichwa na usio na uhalisia wowote.. Imagine Tesla au Amazon wakapiga fyongo kidogo tu PR yao ikachafuka, shares zikashuka thamani overnight unarudi kwenye ground zero..
😂 😂 Mzee kwani ndio umeandika nini hapa kwani share sindio Liquidity yenyewe kwani unavyofikiri dhumuni la kampuni kuuza share zake Public ni nini sikupata Liquidity Mtaji mkubwa sindio Liquidity yenyewe hiyo

Unaandika manini Bob
 
Back
Top Bottom