Jeff Bezos arudi kwenye nafasi yake, Elon Musk Apoteza $14bn kwa siku moja

Imoji

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
337
500
Pumbafuuu tu huyo hakuna ajuacho
Sipendi sana watu kama nyie munaotukana matusi kama muko vijiweni hata mambo yanayohitaji utaalamu au data munajadiri kama vijiweni...hamujui tajiri anatengenezwa vipi

tajiri ni mtu anayepokea mshahara au gawio kama mtu mwengine sio kwamba MO anaamua ngoja nikachote Billion 5 bali anafanyiwa allocation ya gawio kulingana na kwanza Hisa anazomiki na thamani ya kampuni.

Tajiri anayemiliki kampuni yenye thamani kubwa zaidi duniani ndio automatically wanakuwa matajiri wakubwa kwasababu wanapata gawio kubwa zaidi kila asilimia inavyozidi na gawio la pesa au faida linakuwa updated...

NB: tajiri kuwa na Cash nyingi inategemea anapata gawio kihasi gani kutoka kwenye kampuni anayomiliki So automatically mmiliki wa Kampuni kama Google anapokea mgao/pesa/mshahara mkubwa sana kulinganisha na Dangote group.

Tesla Inc ni moja kati ya kampuni zenye thamani zaidi Duniani Mmiliki wake na ukilinganisha Hisa kubwa anazomiki inamfanya apokee gawio kubwa zaidi.

Elon Musk ndio mtu anayepokea mgao/mshahar/pesa nyingi kuliko mtu yeyote yule Duniani kwasasa.

Nimejaribu kukuonesha kivipi tajiRI anakuwa sasa unavyosema tajiri fulani ana Cash nyingi kuliko yule uweleze hizo Cash anaziokota wapi.

mambo yanayohusu namba hayana blaa blah.
 
Okimangi

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,125
2,000
Ni kama wanaita dash bord money you cant withdraw easily
Kuikweli kabisa..utajiri wa hisa ni tofauti kabisa na utajiri wetu sisi waafrika.

Dangote kwa asset na cash aliyonayo, anaweza amawa hata ndani ya kumi bora ya matajiri wa Dunia.

Utajiri wa Elon na Jeff uko tied na ongezeko la thamani a hisa kwenye kampuni wanazoziongoza. Siutajiri wa cash...

Hisa its a tricky business.....zinapanda na kushuka muda wowote based on speculations tu. Na wakati mwingine ni ngumu kubadili hisa kuwa cash. Maana ili upate cash unayoitaji unapaswa kuuza hisa zako, na mtu kama Elon musk akisema auze hisa zake hata asilimia moja tu, italeta tetemeko kubwa kwenye thamani ya hisa zake. Investors watahofia kununua hisa maana wanahisi hata CEO wao hana confidence na soko la hisa za kampuni ndo maana anauza zake...so kila mtu atataka kuuza hisa zake...na mwisho wa siku thamani ya hisa zitaporomoka.

So unaweza ukawa tajiri wa hisa na ukafa na njaa ndani ...tumeona wamiliki wa hisa za vodacom. Kuna watu wanamiliki hisa za million 20, na wamekwama kuzibadili kuwa cash..maana hakuna anaezitaka. Na wakati mwingine thaman yake inashuka, unakuta hisa ya 1000 sasa ni 500 tu..ukiuza unapata nusu tu ya kile ulichowekeza....

Huu utajiri wa hawa jamaa ni utajiri wa mapicha picha.....mwache dangote...na akina Ambani wa india. Hawa jamaa wana mawe kweli kweli...sio hisa tunazochezewa nazo akili.
 
FisadiKuu

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
6,830
2,000
Sipendi sana watu kama nyie munaotukana matusi kama muko vijiweni hata mambo yanayohitaji utaalamu au data munajadiri kama vijiweni...hamujui tajiri anatengenezwa vipi

tajiri ni mtu anayepokea mshahara au gawio kama mtu mwengine sio kwamba MO anaamua ngoja nikachote Billion 5 bali anafanyiwa allocation ya gawio kulingana na kwanza Hisa anazomiki na thamani ya kampuni.

Tajiri anayemiliki kampuni yenye thamani kubwa zaidi duniani ndio automatically wanakuwa matajiri wakubwa kwasababu wanapata gawio kubwa zaidi kila asilimia inavyozidi na gawio la pesa au faida linakuwa updated...

NB: tajiri kuwa na Cash nyingi inategemea anapata gawio kihasi gani kutoka kwenye kampuni anayomiliki So automatically mmiliki wa Kampuni kama Google anapokea mgao/pesa/mshahara mkubwa sana kulinganisha na Dangote group.

Tesla Inc ni moja kati ya kampuni zenye thamani zaidi Duniani Mmiliki wake na ukilinganisha Hisa kubwa anazomiki inamfanya apokee gawio kubwa zaidi.

Elon Musk ndio mtu anayepokea mgao/mshahar/pesa nyingi kuliko mtu yeyote yule Duniani kwasasa.

Nimejaribu kukuonesha kivipi tajiRI anakuwa sasa unavyosema tajiri fulani ana Cash nyingi kuliko yule uweleze hizo Cash anaziokota wapi.

mambo yanayohusu namba hayana blaa blah.
Hivi ulimuelewa uliyemjibu lakini?

Kwahiyo Elon alivyoshuka juzi kapoteza utajiri wake kwa Cash Money au vipande vya shares vimepungua thamani??

Elon akiamua auze shares zake zote unafikiri atamake quick cash kumatch na utajiri wake?? Dangote Group iko kwenye soko gani la hisa? Dangote akiamua auze facilities zake tu za hapa Tanzania haichukui mwezi anavuta mpunga wake anasepa, hata kama atalipwa kwa installments..

Hawa wazungu wengi wamavalue utajiri wao kwa shares of which ukitaka uziturn kwa quick cash ni ngumu sana kupata cash kwa wakati. Ningeenda pia nifahamu Tesla walimake profit kiasi gani mwaka uliopita?
 
Njia pekee ya kupata Quickly Cash yenye thamani na utajiri wako ni kuuza kampuni Elon Musk kashawai kuuza PayPal na kuwa na Cash nyingi sasa unataka kufananisha mtu aliyeuza Full Operated System kama PayPal na Facility za Dangote kweli eti auze kiwanda chake mtwara Your serious.

Ni Note kwanza Cash ya tajiri inapatikana kwa njia mbili tu
1)Gawio analopanalopokea kutoka kwenye kampuni yake...kampuni ikiwa kubwa gawio pia kubwa
2)Kuuza kampuni hapa endapo tu tajiri anataka kuamia kwenye Industry nyengine... Nikueleze kuhusu hapa kwenye kuuza kampuni kampuni za Tech zinamafanikio 90% ukiamua kuuza PayPal, Insta, WhatsApp nk zote zimeuzwa na watu wamekula CASH sasa wewe unaongelea kunyumenyume eti Dangote anauza Kiwanda cha Cement mtwara atanunua nani na hata wakinunua atapata pesa zakunya pombe Club za kipuuzi.

Sio unaandika kama upo karne ya 2
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,297
2,000
Pesa kitu cha ajabu sana,pamoja na utajiri wote huo bado utashngaa mtu kama huyo halali usiku kisa anawaza atakuwaje tajiri namba moja duniani,hapo ndio utakapojua kuwa pesa haijawahi kumletea amani binadamu...
 
Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,250
2,000
Njia pekee ya kupata Quickly Cash yenye thamani na utajiri wako ni kuuza kampuni Elon Musk kashawai kuuza PayPal na kuwa na Cash nyingi sasa unataka kufananisha mtu aliyeuza Full Operated System kama PayPal na Facility za Dangote kweli eti auze kiwanda chake mtwara Your serious.

Ni Note kwanza Cash ya tajiri inapatikana kwa njia mbili tu
1)Gawio analopanalopokea kutoka kwenye kampuni yake...kampuni ikiwa kubwa gawio pia kubwa
2)Kuuza kampuni hapa endapo tu tajiri anataka kuamia kwenye Industry nyengine... Nikueleze kuhusu hapa kwenye kuuza kampuni kampuni za Tech zinamafanikio 90% ukiamua kuuza PayPal, Insta, WhatsApp nk zote zimeuzwa na watu wamekula CASH sasa wewe unaongelea kunyumenyume eti Dangote anauza Kiwanda cha Cement mtwara atanunua nani na hata wakinunua atapata pesa zakunya pombe Club za kipuuzi.

Sio unaandika kama upo karne ya 2
Doh...mkuu usibishane maana utaonekana kiazi tu humu ndani.

Unauzaje kampuni ambayo you only own 20% of it? Iyo kampuni sio yako. What you can do ni kuuza hisa zako tu...chief soma tofauti kati ya public and private company.

Paypal was a private company ya Elon..uwamuzi wa kuiuza ni wake yeye na team yake. Tesla ni Public company anachoweza kufanya ni nikuuza hisa zake sokoni sio kuuza kampuni.

Na nimekuelezea effect ya Elon kuuza hisa zake, itaangusha confidence ya investors kwenye soko la hisa na kulelekea thamani ya hisa kuporomoka sana.
 
PayPal nimekuonesha njia za kupata Cash Mzee mbona unakaza kichwa Hoja ya Gawio analopokea mbona unairuka toka mwanzo.

Hume nielezee Step by step tajiri anapataje Cash kutoka kwenye kampuni yake huelezi ila kutaja Cash za mtu haujambo.
 
Mazigazi

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
10,021
2,000
Hawa jamaa data zao nimeanza kutozielewa.

Miezi ya juzi tu hapa kama siyo mitatu basi minne iliyopita, Majarida Mengi sana Ikiwepo Forbes, bbcswahili na mengine yaliandika sana kumuhusu Jeff Bezos.

Waliandika kwamba Jeff Besoz awa Binadamu wa kwanza kufikisha USA dollar Billion 200.
Ambapo walimtaja kama billionaire wa kwanza kuwa na uatajiri wa USA dollar 206.4.

Kinachonishangaza ni juzi majarida hayo hayo ikiwepo bbcswahili hiyo hiyo kwenye website yao wakaandika Elon Musk awa billionea namba moja duniani ampita Jeff Bezos.

Kuangalia utajiri wake (Elon Musk) wameandika dollar billion 185.

Sasa wakawa wamenichanganya kidogo.
Nikajiuliza ni juzi tu hapa vyombo vya habari kibao viliripoti kuwa Jeff bezos awa tajiri wa kwanza kufikisha dolla billion 200 (ambapo alikuwa na dolla billion 206.4 kwa takwimu zao) na huyu sasa hivi anaesemwa tena wa kwanza na vyombo vya habari vile vile ni Elon Musk dollar billion 185, sasa mbona hazija fika dolla billion 206.4 ambazo tiari alishafikisha Jeff Bezos ? Au labda Jeff bezos utajiri ulishuka bila hayo majarida kumtangaza ? Mbona Dangote akishukaga tu dollar billion moja wanamtangazaga kwanini Jeff Bezos hawakusema kuwa alishuka kutoka dollar billion 206.4 hizo ambazo alishafikisha ? Any way wamenichanganya by the way nashindwa kuwa elewa .
Jifunze Kwanza kuhusu stock ndio utaelewa which is which

Otherwise utaona mazigazi tu hapo
 
FisadiKuu

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
6,830
2,000
Njia pekee ya kupata Quickly Cash yenye thamani na utajiri wako ni kuuza kampuni Elon Musk kashawai kuuza PayPal na kuwa na Cash nyingi sasa unataka kufananisha mtu aliyeuza Full Operated System kama PayPal na Facility za Dangote kweli eti auze kiwanda chake mtwara Your serious.

Ni Note kwanza Cash ya tajiri inapatikana kwa njia mbili tu
1)Gawio analopanalopokea kutoka kwenye kampuni yake...kampuni ikiwa kubwa gawio pia kubwa
2)Kuuza kampuni hapa endapo tu tajiri anataka kuamia kwenye Industry nyengine... Nikueleze kuhusu hapa kwenye kuuza kampuni kampuni za Tech zinamafanikio 90% ukiamua kuuza PayPal, Insta, WhatsApp nk zote zimeuzwa na watu wamekula CASH sasa wewe unaongelea kunyumenyume eti Dangote anauza Kiwanda cha Cement mtwara atanunua nani na hata wakinunua atapata pesa zakunya pombe Club za kipuuzi.

Sio unaandika kama upo karne ya 2
Nijibu Tesla wamepata faida kiasi gani mwaka jana??

PayPal ilivyouzwa yeye alipata Dola Million 165, hiyo ni pesa ndogo sana kuilinganisha na Kiwanda cha Dangote na facilities zake pale Mtwara..
 
Mazigazi

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
10,021
2,000
Hivi ulimuelewa uliyemjibu lakini?

Kwahiyo Elon alivyoshuka juzi kapoteza utajiri wake kwa Cash Money au vipande vya shares vimepungua thamani??

Elon akiamua auze shares zake zote unafikiri atamake quick cash kumatch na utajiri wake?? Dangote Group iko kwenye soko gani la hisa? Dangote akiamua auze facilities zake tu za hapa Tanzania haichukui mwezi anavuta mpunga wake anasepa, hata kama atalipwa kwa installments..

Hawa wazungu wengi wamavalue utajiri wao kwa shares of which ukitaka uziturn kwa quick cash ni ngumu sana kupata cash kwa wakati. Ningeenda pia nifahamu Tesla walimake profit kiasi gani mwaka uliopita?
Ndio inawezekana ukaziuza share zenye thamani ya bilionj moja zi kawa cash

Elon amepoteza thamani ya share sio cash money na hizo share zinaweka kuwa real money akitaka kuziuza .

Jifunze kwa mfumo wa hisa unavyofanya kazi

Elimu iko bure mtandaoni otherwise utaona mazigazi
 
Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,250
2,000
Sipendi sana watu kama nyie munaotukana matusi kama muko vijiweni hata mambo yanayohitaji utaalamu au data munajadiri kama vijiweni...hamujui tajiri anatengenezwa vipi

tajiri ni mtu anayepokea mshahara au gawio kama mtu mwengine sio kwamba MO anaamua ngoja nikachote Billion 5 bali anafanyiwa allocation ya gawio kulingana na kwanza Hisa anazomiki na thamani ya kampuni.

Tajiri anayemiliki kampuni yenye thamani kubwa zaidi duniani ndio automatically wanakuwa matajiri wakubwa kwasababu wanapata gawio kubwa zaidi kila asilimia inavyozidi na gawio la pesa au faida linakuwa updated...

NB: tajiri kuwa na Cash nyingi inategemea anapata gawio kihasi gani kutoka kwenye kampuni anayomiliki So automatically mmiliki wa Kampuni kama Google anapokea mgao/pesa/mshahara mkubwa sana kulinganisha na Dangote group.

Tesla Inc ni moja kati ya kampuni zenye thamani zaidi Duniani Mmiliki wake na ukilinganisha Hisa kubwa anazomiki inamfanya apokee gawio kubwa zaidi.

Elon Musk ndio mtu anayepokea mgao/mshahar/pesa nyingi kuliko mtu yeyote yule Duniani kwasasa.

Nimejaribu kukuonesha kivipi tajiRI anakuwa sasa unavyosema tajiri fulani ana Cash nyingi kuliko yule uweleze hizo Cash anaziokota wapi.

mambo yanayohusu namba hayana blaa blah.
Mwana unazidi kupambanua upuuzi ulionao...hutaki kujifunza.

Gawiwo linatokana na faida kampuni iyo tengeneza. Tesla kwa sasa ina thamani ya zaidi ya Billion 800, ambayo elon anamiki hisa za thamani karibu bil 180 wastan wa asilimia 20% ya kampuni. Ila faida ya kampuni kwa mwaka jana pekee ni around 1 billion.

Ambayo iliregister faida ya only 360mil kwa third quarter ya mwaka.
Maana yake, kama ni dividend, Elon amepokea si zaidi ya 200mil ambayo ni 20% percent ya faida iliyo patikana. Kumbuka kampuni inaweza ika register a loss...kwaiyo hata iyo dividend isipatikane.
 
Imoji

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
337
500
Nijibu Tesla wamepata faida kiasi gani mwaka jana??

PayPal ilivyouzwa yeye alipata Dola Million 165, hiyo ni pesa ndogo sana kuilinganisha na Kiwanda cha Dangote na facilities zake pale Mtwara..
Tesla haingalii faida leo Bob sio Toyota hiyo unauwelewa gani ni masuala ya kampuni.

PayPal nimekupa mfano, it was Hustling zakupata mtaji...Nitajie facility za uko mtwara zina thamani gani umeshikiria facility facility.
 
Imoji

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
337
500
Mwana unazidi kupambanua upuuzi ulionao...hutaki kujifunza.

Gawiwo linatokana na faida kampuni iyo tengeneza. Tesla kwa sasa ina thamani ya zaidi ya Billion 800, ambayo elon anamiki hisa za thamani karibu bil 180 wastan wa asilimia 20% ya kampuni. Ila faida ya kampuni kwa mwaka jana pekee ni around 1 billion.

Ambayo iliregister faida ya only 360mil kwa third quarter ya mwaka.
Maana yake, kama ni dividend, Elon amepokea si zaidi ya 200mil ambayo ni 20% percent ya faida iliyo patikana. Kumbuka kampuni inaweza ika register a loss...kwaiyo hata iyo dividend isipatikane.
Futurist
 
kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
5,929
2,000
Hivi nyie Ginner na Imoji kama ni walimu wa maswala ya hisa kwenye chuo kimoja si mtasababisha mtafaruku mkubwa sana kwa wenu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom