Wewe sem kweli na sio kukurupuka. Kipi kilianza Muungano kisha bunge au Bunge kujadili ndio Muungano.
Kifupi pitia vizuri historia utaona Kwanza yalianza makubaliano baina ya Nyerere na Karume kisha wawakilishi wa wananchi walifuata.
Kisheria ilitakiwa lianze wazo kisha wawakilishi wa wananchi walijadili na kukubaliana kisha ndio liende kwa rais kwa ajili ya majumuisho na utekelezaji.
Muungano wa Tanganyika na zanzibar ulienda kinyume chake.
Mbona Waziri Mkuu anateuliwa na rais na kisha anapitishwa na bunge, ina maana si halali?
Unacgho dispute ni nini sasa? Kwamba wale wawakilishi wa Zanzibar waliopitisha muungano hawakuwa wawakilishi au nini?
Kama muungano haukuwa halali kwa nini waliupitisha sasa? Wawakilishi walivyopitisha maana yake watu wa Zanzibar waliupitisha.
Kwa msingi huu hata hiyo referrendum mnaweza kunyimwa kwa msingi wa kwamba haijaombwa na watu wa Tanzania, all CCM has to do is bring the motion kwenye parliament na baraza la wawakilishi halafu kui shoot down huko, itaonekana ni ya wachochezi wachache na ma CUF wao.
Tumia akili, usibwabwaje kwa unazi. Baraza lenu lenyewe limepitisha sasa unakuja kulalama eti ooh, ililetwa top down, mbona bajeti zinaletwa top down na zinapitishwa, nazo haramu zile?
Acha longolongo, umasikini wetu wala hautyokani na muungano.Mimi nataka muungano upigwe chini ili muende zenu mbele kwa mbele mkose kutulaumu. Sasa sijui mtavunja uzanzibari nao wapemba waende zao na Waunguja, kutoka hapo vile visiwa vidogodogo vyote navyo vitataka kuwa vinchi, mwishowe kila famila iwe na rais wake pamoja na bendera.
Nyie wengine ubishi na ulalamishi asili yenu, na sie tushachoka hatuutaki muungano, vunja hata kesho, vunja na tuone kama tutau miss.
Sanasana mnachukua mgao wetu tu pamoja na kujaza vyuo vya elimu ya juu.Na mkivunja muungano vyuoni kote tunawatoza ada za international students, kama mtakubaliwa at all na vi affirmative action program mnavyovitegemea, na wote mliopo mawizarani na BOT fukuzilia mbali within 48 hours muwe msharudi Chake Chake na Tumbatu huko mkacheze na magofu na tumbili.
Hamna adabu kabisa, mtu Nyerere baba wa watu kawasitirini kuwapa muungano uliokuwa lopsided in your advantage despite your small size, wakati angeweza kuwa annex tu kama Emperor Selassie alivyo i annex Eritrea, leo mnaona mnaonewa.Mauzauza haya ya "mkataa pema pabaya panamwita"