Hakika JF ni mgodi mkubwa. Someni uzi ulioandikwa na
Mzee Mwanakijiji 28 April 2009 pamoja na majadiliano kipindi hicho.
Majadiliano na mijadala katika hoja zilizojadiliwa bado ni moto moto.
Baadhi ya members waliochangia mjadala huu wametangulia mbele za haki ila maandishi na michango yao itashi na kusomwa vizazi mpaka vizazi vijavyo.
TUNASHUKURU SANA JF NA WOTE.
Credit kwa
Mzee Mwanakijiji
Pascal Mayalla ,