ikiwa ni takribani masaa kadhaa yamepita tangu zoezi la kupiga kura lilipomalizika huko visiwani Zanzibar, tayari kazi ya kukusanya, kuhesabu, kujumlisha na hatimaye kutangazwa matokeo ya kutoka pande zote za Zanzibar umefanyika kwa haraka mno na kumaliza ndani ya muda mfupi. hongera sana jecha na timu yako kwa kuhararisha zoezi tofauti na kipindi cha nyuma ilipokuwa inachukua siku kadhaa kumaliza zoezi zima. njia mlizotumia ni za kisasa zaidi