Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Jana wakati naangalia ufunguzi wa BBA 5 All Stars washiriki waliulizwa siri zao na bila hiyana Mwisho akatoa yake kuwa aliwahi kuwaDATE wasanii wa kike wawili kwa mpigo hapo ndio kumbukumbu zangu zikang'amua kuwa ni RAY C na RAH P. Sasa nauliza huyu mwanadada mahiri na mlimbwende wa ukweli yu wapi hivi sasa? Wenye info please?
BNamkumbuka huyu dada na kubao chake mahiri cha HAYAKUHUSU