Je yu wapi Msanii na Mrembo RAH P?

Status
Not open for further replies.

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
2zdvnkx.jpg


Jana wakati naangalia ufunguzi wa BBA 5 All Stars washiriki waliulizwa siri zao na bila hiyana Mwisho akatoa yake kuwa aliwahi kuwaDATE wasanii wa kike wawili kwa mpigo hapo ndio kumbukumbu zangu zikang'amua kuwa ni RAY C na RAH P. Sasa nauliza huyu mwanadada mahiri na mlimbwende wa ukweli yu wapi hivi sasa? Wenye info please?

BNamkumbuka huyu dada na kubao chake mahiri cha HAYAKUHUSU
 
Kuna kipindi aliniambia ana uhusiano na Yule Kijana wa Morogoro aliyepataka kushiriki kwenye BIG BROTHER AFRICA!!!! Nilimzimikia sana huyu mtoto kipindi hicho...! Sijui yu wapi..!
 
She went to use kwa kijana Nyani Ngabu....mwaka juzi ameolewa na babu mmoja..wakaja Mwanza kwa baba yake na mtoto kuona familia..

I saw them roaming around Mwanza Hotel - Uhuru Street with very strong old men late 60's...hivi. Hope she is looking some wealth after death of old men.....na mdogo wake kashambeba kwenda hukohuko..alikuwa anasoma Loleto Secondary School - National Mwanza....on your way to Igoma.
 
Hope she is looking some wealth after death of old men.....na mdogo wake kashambeba...

Hapo kwenye nyeusi hapo....nipe probability ya babu kufa/kutangulia kabla ya ya RAH P?Statement yako imekaa kama vile probability yake ni sure event!
 
El Toro

Bila shaka picha hizi umezitoa kwenye facebook. Anatumia jina gani kule? Nataka kuongeza idadi ya marafiki ati!
 
Last edited by a moderator:
Duh kuolewa na vibabu hivi dada zetu mtaacha lini

As long as babu anatimiza wajibu wake tatizo liko wapi? Kuna vibabu vingine viko fiti kishenzi na kazi vinaijua, halafu na mihela ya kumwaga... kwa nini mtoto asitambae kwa muda na kikijifia atafute ki-serengeti boy chake cha kumlea.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom