Dr. Ndodi yupo anaendelea na shughuli zake. Kwa sasa kama uko mbali na Dar huwezi kujua maana yule Waziri aliyekwepa Twiga akavunjika mbavu alibadili kanuni ili kumkomoa Dr MWAKA kwa kupiga marufuku watu wa tiba mbadala kujitangaza kwenye TV au kubandika mabango mitaani.Mjanja yule atakua anasoma alama za nyakati
Nilikuwa mfuatiliaji sana wa vipindi vyake kupitia EATV na kupitia mafunzo na maelekezo yake Nilipona magonjwa yalokuwa yakinisumbua kwa mda mrefu sana, Big up Dr Ndodi be blessed sana na uzidi kusaidia wengine
Tiba ya malaria kwa kunywa limao siku 16.Mi naikumbuka slogan yake moja ya kupinga kula huku unakunywa maji at the same time
Hahahah ila hyo nayo alipatia kwel kabisaTiba ya malaria kwa kunywa limao siku 16.
100% ni utapeli. Na ni kawaida sana ya tapeli kuwa na lugha nzuri.Nachomsifu Ndondi ni aina yake ya kuongea huwa haichoshi na inavutia uendelee kumsikiliza.
Ila kwenye bei za dawa ndio alikuwa kiboko dozi moja anakwambia Elfu 45 na anakwambia ili upone kabisa kabisa unatakiwa unywe dozi siku 60.
Yawezekana dawa zake zilikuwa zinasaidia ila ziliwalenga Sana watu wenye kipato.
tupe ushuhuda mkuu?Nilikuwa mfuatiliaji sana wa vipindi vyake kupitia EATV na kupitia mafunzo na maelekezo yake Nilipona magonjwa yalokuwa yakinisumbua kwa mda mrefu sana, Big up Dr Ndodi be blessed sana na uzidi kusaidia wengine
Tiba ya malaria ilikuwa ni kula mapapai na maganda yake na mbegu zakeHahahah ila hyo nayo alipatia kwel kabisa
Tanzania ndiyo sehemu pekee duniani yenye kila aina ya dawa inayotibu kila aina ya magonjwa uliyopo duniani!Amenisaidia mpka Leo hii ni najua dawa za jino na ninasaidia sana watu kijjn kwangu kwa tatizo lolote LA jino.endeleeni kuponda watu wanapona
Sawa mkuuTiba ya malaria ilikuwa ni kula mapapai na maganda yake na mbegu zake
Nilikuwa mfuatiliaji sana wa vipindi vyake kupitia EATV na kupitia mafunzo na maelekezo yake Nilipona magonjwa yalokuwa yakinisumbua kwa mda mrefu sana, Big up Dr Ndodi be blessed sana na uzidi kusaidia wengine
Mkuu weka kapicha kake ka sasa ,Dr. Ndodi yupo anaendelea na shughuli zake. Kwa sasa kama uko mbali na Dar huwezi kujua maana yule Waziri aliyekwepa Twiga akavunjika mbavu alibadili kanuni ili kumkomoa Dr MWAKA kwa kupiga marufuku watu wa tiba mbadala kujitangaza kwenye TV au kubandika mabango mitaani.
Mwaka kafungua kampuni mpya yuko ubungo plaza... naye kabadili strategy ila mambo njmi yale yale... mwaka internationalNa mwenzake Mwaka??
haaahaaMjanja yule atakua anasoma alama za nyakati
duuuh hapa umetunywesha uji mkuu "".. Dr mwaka mbona kafungua office ubungo plazaHakuna jiwe litakalobaki juu ya juwe lingine. do mwaka anauza fruit salad gongo la mboto
hahaha huu ulimwengu lazima utafute " kundi lako la kuli brain washed " then uwapige hela "=Father of all fake doctors